Tundu Lissu: Acheni kutunga uongo, mshaurini Rais Samia awataje na kuwakamata walionishambulia

..Mama aunde Tume Huru ya Uchunguzi ikate mzizi wa fitina kuhusu nani alitaka kumuua Tundu Lissu.
Pamoja na kazi nyingi zinazomkabili, bando unataka aunde tume ya kuchunguza ushubwada?

Sio yeye aliyewahi kuwaambia kuwa "askari wa CCM aliyepikwa akapikika hawezi piga risasi Zaid ya tatu kisha mtu apone?"
 
[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Pamoja na kazi nyingi zinazomkabili, bando unataka aunde tume ya kuchunguza ushubwada?

Sio yeye aliyewahi kuwaambia kuwa "askari wa CCM aliyepikwa akapikika hawezi piga risasi Zaid ya tatu kisha mtu apone?"
Kwa hiyo hii kauli aliyotoa ndio final and conclussive?
 
Siku Wale Interahamwe wanapandishwa Kizimbani halafu Lissu analipwa stahiki zake sijui utafura upasuke.
Lini hiyo? Hivi mmesahau kuwa wakati wa kampeni Mama yako aliwajibu kwa kuwambia kuwa, hakuna askari wa Serikali ya CCM anaeweza kukosa risasi zaidi ya tatu na akaendelea kubaki kazini?

Endeleeni kujitia moyo sasa, sisi tunawashauri vizuri kabisa kwamba kiki ya Risasi kwasasa haina nguvu tena, badilisheni gia.
 
Kimsingi kila mmoja anafurahia lile linaloupendeza moyo wake, ndio maana wengine walifurahia Magufuli kufariki kiasi cha kumsema vibaya na wengine walihuzunika, leo hii unawezaje kuwafanya watu wote wampende lissu? Wengine watafurahi wakisiki Lissu kafa huko aliko.
 
Hii taarifa umeipata wakati akiwa anakuhemea mgongoni? Kaa utulie utuletee habari kamili
 
Pamoja na kazi nyingi zinazomkabili, bando unataka aunde tume ya kuchunguza ushubwada?

Sio yeye aliyewahi kuwaambia kuwa "askari wa CCM aliyepikwa akapikika hawezi piga risasi Zaid ya tatu kisha mtu apone?"

..kuunda tume ya uchunguzi inaweza kuwa ni sehemu ya kazi nyingi alizonazo raisi.

..ni kweli alisema hivyo wakati wa kampeni. Na ni kweli Rais Samia alipokuwa Nairobi alimuona Lissu hospitalini na alionyesha kuguswa na kilichomtokea.
 
Mkuu umefafanua vyema. Asipoelewa basi anamatatizo
 
Watanzania wengine humu ni kama bumbumbu! Comments zao hazina maana! Kuuliza kwa nini mhalifu akamatwe ama kusema mama ana mambo ya msingi zaidi ya maisha ya binadamu ni akili za hamnazo kabisa! Katika miaka mitano ya JPM Tanzania watu tulikosa sana ubinadamu!Namwomba mama aturudishie ubinadamu aliotuachia baba wa Taifa Mwalimu Nyerere!! Aliyeheshimika dunia nzima!!
 
..lengo ni uchunguzi ufanyike ili kuwabaini waliomshambulia Tundu Lissu.

..kauli ya Mama Samia wakati wa kampeni inahusu wasiohusika, wakati sisi tunamsihi aunde tume kuwabaini waliohusika.
 
Mtu mwenyewe wa kumuundia tume anazurura tu huko ulaya ni wakumpuuza tu abwabwaje anavyoweza.
 
Mtu mwenyewe wa kumuundia tume anazurura tu huko ulaya ni wakumpuuza tu abwabwaje anavyoweza.

..Tume sio kwa ajili ya Lissu.

..Hili ni suala linalohusu jamhuri.

..kilichotokea ni kosa ambalo jamhuri inapaswa kuchunguza, na ikiwatambua wahusika iwashtaki mahakamani.
 
Mbona wanazua uongo kuwa anamsifia mama? Waliomshambulia walishakamtwa?
Kwani yeye Lissu ana nini cha ajabu au umuhimu gani kiasi kwamba hawezi kumsifia mhe Rais, au kumsifia ionekane ni habari???
 
Sio yeye aliyewahi kuwaambia kuwa "askari wa CCM aliyepikwa akapikika hawezi piga risasi Zaid ya tatu kisha mtu apone?"
Askari wa CCM? U mzima kweli wewe! Hata hivyo nakuhakikishia kwamba kama CCM kweli wanao askari wao, haitakuwa ajabu kummiminia mtu risasi hata mia na wasifanikiwe kumuua. Madarakani amekaa miaka karibia sitini lakini hawajawahi kufanikiwa katika malengo yao ya kuikwamua nchi katika umasikini.
 
..Mama aunde Tume Huru ya Uchunguzi ikate mzizi wa fitina kuhusu nani alitaka kumuua Tundu Lissu.
Ila binafsi nashauri tume hiyo hiyo isiishie hapo bali iuchunguze na ule mguu wa mbowe ili ikibainika kuwa alizusha huku akijua ni faru John akamatwe na kuwekwa kizuizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…