Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

Nashangaa kwanini Mbowe asimshauri Lissu agombee UENYEKITI?
 

Attachments

  • Screenshot_20191130-170435_Instagram.jpg
    150.3 KB · Views: 2
Lissu ungechukua Uenyekiti. Inanikumbusha Chacha Wangwe alipotaka kugombea Uenyekiti. LISSU siku ukichukua form za Uenyekiti ndo utamjua Mbowe ni nani.
Hata hii habari ya Lisu kugpombea umakamu inahitaji independent verification. Mwanzoni kulikuwa na fanfare leo utasikia Lisu kesha kata iketi ya kuja Tanzania, kesho utasikia Septemba 7 anatua...Hii ya kurejea kimyakimya kuna jambo kubwa nyuma yake, a Mbowe kaamua kucheza na aliki za watu kama alivyozoea.

Wakati Slaa amejiondoa Chadema, Mbowe alisema yuko likizo. Taarifa nilizonazo zisizo na chembe ya mashaka ni Lisu kuungana na Zito ACT wakati wowote baada ya kurejea nchini. Watch this space.
 
Ahahahahahahahahahahahahah!
 
Tuko Na mbowe hapa Arusha ananiambia anakuoenda Sana.....naomba contact zako PM ...nimpatie KUB
Lissu ungechukua Uenyekiti. Inanikumbusha Chacha Wangwe alipotaka kugombea Uenyekiti. LISSU siku ukichukua form za Uenyekiti ndo utamjua Mbowe ni nani.
 
So anachukua kwa sababu Pro Safari kaamua kutogombea, angekuwa anagombea asingechukua. Yaani kupokezana uongozi hadi mtu aliyeshika uongozi aamue kuacha mwenyewe duuh. Hii ndio hasara ya kuwa na katiba isiyoweka ukomo wa uongozi.
 

Jabali kwa Yapi?
 
Kumbe mbowe kashajihakikishia ushindi ndiyo maana anasema lisu atakuwa makamu MWENYEKITI !duuuh aisee mbowe na democracy
 
eti vijana ndo wamemchukulia fomu hahahah yani wanasiasa sijui huwa wanatuchukuliaje yani wanatuona watoto
 
huyo kenge sialikua anatembea huko ulaya na marekani kuichafua nchi!leo anarudi wapi tena?
me ningeshauri akitua nchini apigwe pingu..
 

PROF. ABDALLAH SAFARI AMEONA MBALI SANA!

Kiuhalisia CDM inazama. Mtu makini hawezi kukubali kuendelea kukaa katika jahazi linalozama na hasa naodha akiwa ni yule yule aliyeingiza jahazi katika dhoruba.

Ikifika hapo, Wajanja huwa wanawahi maboya na kupiga mbizi nje ya jahazi.

Ndicho alichokifanya Prof. Abdallah Safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…