Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

Magufuli nina uhakika atawaua wote.
Na sasa hivi anajitoa kwanza kwenye vyombo vya haki za binadamu vyote
Naye ana damu kujiita jiwe haimaanishi kuwa yeye ni exceptional hata yeye ana tarehe yake.
 
Ccm iliishakufa kitambo imebaki tu kushikiliwa na kauzi ka vyombo vya usalama hata uchaguzi wanaogopa.

They're very nervous of participating in any election that can be described as free and fair.
 
Ccm iliishakufa kitambo imebaki tu kushikiliwa na kauzi ka vyombo vya usalama hata uchaguzi wanaogopa.

They're very nervous of participating in any election that can be described as free and fair.

Endelea kujidanganya na kujifariji.
 
Nimeshangaaa sana aiseee, kujitoa kwenye hizi mahakama sio bure kipo anachopanga kufanya.

Shida zote hizi mbeba lawama ni mzee wa msoga
Magufuli nina uhakika atawaua wote.
Na sasa hivi anajitoa kwanza kwenye vyombo vya haki za binadamu vyote
 
Kumbe anaweza kuja kujaza form za uongozi kwenye Chama chake, lakini hawezi kuja kwenye kesi zinazomwandama na kukamilisha ushahidi wa kesi yake ya kushambuliwa? Mazingaombwe ya Chadema huwezi kuyafahamu? Priority yao ni nini? Kuwafurahisha wanaowalisha? Je TL aliingia kweli Tanzania? Sheria za ukimbizi hazikubaliani na raia kurudi kwenye nchi aliyokimbia kwa sababu mbalimbali, Nini hasa TL amekubaliana na wafadhili wake? Je, TL yupo salama zaidi Nairobi?
 
Yoyote aliyekaribu yako akupe msaada wa kukunyang'anya simu naona umechanganyikiwa,wahi dozi muhimbili zinatolewa bure.
 
Na wewe anzisha chama chako uweke watu uliotaka kuwaona wamewekwa
 
Wewe pumzika sisi tunaendelea kupambana,mahesabu 2020
Chadema na Mbowe ni wasanii sana

Eti Mbowe kakubali maombi ya vijana nchi nzima ya kugombea tena uenyekiti

Yaan Prof. Safari aliyemkuta Mbowe kwenye uenyekiti kaomba kupumzika ila Mbowe hajaomba kupumzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…