Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Anacheka cheka kama vile ana uwezo wa kupata hata kura 100
Unahara ukiwa wapi boss mkubwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anacheka cheka kama vile ana uwezo wa kupata hata kura 100
Luca ameshiba maparachichi kajilaza shambani kwa uchovu wa kupalilia.Hivi wewe na Lissu nani anahangaika na maisha? Unakubali kujitoa ufahamu kutumika kiboya huku unaambulia makombo wenzako wanajipakulia minyama.
😁😁😁japo Lissu sijawi kuona ameleta mafanikio popote, labda akipata hicho cheo
Nani rafiki sasa? jiwe, napi na mama yetu?Lissu ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA
Wala usijali kwani ni tofauti na kwenda tunguu? zote ni nchi za kigeni tu kila mtu ana maamuzi yake so long as hajavunja sheriaAkishajaza fomu, anaenda Belgium!
Kuomba kura, sijajua ataanza lini!
CHADEMA chini ya Mbowe ni chama rafiki wa CCM. Mwenyekiti wetu alishapewa tuzo na CHADEMANani rafiki sasa? jiwe, napi na mama yetu?
Kila laheri Lissu...Taarifa Kamili itakujia hivi Punde
========
View attachment 3178772
Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo.
Lissu amesindikizwa na kundi dogo la Watu wakiwemo viongozi na Wanachama wa Chadema, akiwa na Bahasha ya Khaki inayosadikika kuwa na risiti ya Malipo ikiwa ni gharama ya fomu hiyo
Inatarajiwa Wagombea zaidi ya watano Watajitokeza kuomba Nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa
Mungu Ibariki Chadema
Pia, Soma
• Tundu Lissu: Haikuwa raisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti
• CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Hii ndiyo maana ya demokrasia siyo wale w fomu mojaTaarifa Kamili itakujia hivi Punde
========
View attachment 3178772
Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo.
Lissu amesindikizwa na kundi dogo la Watu wakiwemo viongozi na Wanachama wa Chadema, akiwa na Bahasha ya Khaki inayosadikika kuwa na risiti ya Malipo ikiwa ni gharama ya fomu hiyo
Inatarajiwa Wagombea zaidi ya watano Watajitokeza kuomba Nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa
Mungu Ibariki Chadema
Pia, Soma
• Tundu Lissu: Haikuwa raisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti
• CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
CHADEMA chini ya Mbowe ni chama rafiki wa CCM. Mwenyekiti wetu alishapewa tuzo na CHADEMA
Nimependa utulivu wako. Hekima yako. Kuna mambo magumu kama haya ambayo yanahitaji hekima na busara. Hata kama unapendeleo lako linabaki moyoni mwako na huku nje sisi tunakuona uko neutral na kuona lolote litakalotokea ni sawa kwako kulingana na nafasi yako na ushawishi wako ktk chama.ngoja tusubiri
Huko chadema kuna akili nyingi sana zipo huko watu wazungukwa hawaelewi kipi ni kipi wapo wapo tuSisiemu wamepotezwa ni vumbiii tu .Chama cha WATANZANIA kipo KAZINI...Chadema kuweni na hurumaa hapa Lumumba njaa ime ngia kama mlipuko wa KIPINDUPINDU kisa nyinyi kutawala MEDIA!!!!
uko sahihi boss,Nimependa utulivu wako. Hekima yako. Kuna mambo magumu kama haya ambayo yanahitaji hekima na busara. Hata kama unapendeleo lako linabaki moyoni mwako na huku nje sisi tunakuona uko neutral na kuona lolote litakalotokea ni sawa kwako kulingana na nafasi yako na ushawishi wako ktk chama.
Wengine wamevurunda humu na kuwashambulia wagombea. Na wanajiweka ktk wakati mgumu kama huyo waliyemshambulia atashinda uchaguzi.
Kutoka moyoni nakupongeza sana.
Harafu ukiwa Makamu si ndio uko karibu kuwa mwenyekiti?MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amechukua fomu kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho huku akiwajibu watu wanaokosoa uamuzi wake na kusema jambo hilo si la ajabu na kuwahoji walitaka achukue nani.
Akizungumza jana asubuhi nyumbani kwake Tegeta, Dar es Salaam, kabla ya kwenda kuchukua fomu, Lissu alisema siyo ajabu yeye kugombea nafasi hiyo na wala kupambana na mwenyekiti wake (Mbowe).
Katika mahojiano hayo na kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM, Lissu alisema kitu ambacho watu wanakiona cha ajabu ni yeye kuwa Makamu Mwenyekiti na kutangaza kuchukua fomu ya uenyekiti CHADEMA.
“Sasa mlitaka achukue nani kama siyo Makamu Mwenyekiti? Nani ndiye aliyeandikiwa kuchukua na nani asichukue? Kinachoonekana cha ajabu ni hicho tu,” alisema.
Angalau wewe sasa ndo akili inaanza kukurudia. Hiki ndicho kitu wapenzi wa Lissu wanapaswa kufanya na sio kumtukana Mbowe na kususa kisa kagombea.Kwa mwanachama anayekipenda Chama na mwenye akili timamu Tundu Lissu ndiye anayefaa kukiongoza CHADEMA. Mtu mmoja anawezaje kuendelea kuwa Mwenyekiti kwa zaidi miaka 20. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA msije mkarubuniwa na rushwa wakati wa uchaguzi. Fanyeni uamuzi ulio sahihi ili kukinusuru Chama.