Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hili Jembe linazidi kuchanja mbuga.Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amefanya Mahojiano Muhimu sana na VOA , ambapo amefafanua masuala mbali mbali ya namna hali ya kisiasa ya nchini Tanzania ilivyo kwa sasa (Tutajaribu kuweka video ikiwezekan
nje ya madaHuko VOA ndo alikozusha mlinzi wa Magufuli kafa kwa C-19!!
And nobody has ever held him to account!
Tupia video, twende sawaMakamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amefanya Mahojiano Muhimu sana na VOA , ambapo amefafanua masuala mbali mbali ya namna hali ya kisiasa ya nchini Tanzania ilivyo kwa sasa (Tutajaribu kuweka video ikiwezekana)....
Bado kuna vyombo vya habari vina muda wa kupoteza na Lissu really?Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amefanya Mahojiano Muhimu sana na VOA , ambapo amefafanua masuala mbali mbali ya namna hali ya kisiasa ya nchini Tanzania ilivyo kwa sasa (Tutajaribu kuweka video ikiwezekana)...
Polepole imebaki stori , hakuna cha VIEITE wala niniAna tofauti gani, na Pole pole alivyokua analala na kuamka Chanel 10 kwenye uchaguzi 2015??
Bado hujazijua Spana za Lissu , Muulize jiwe alifikaje MzenaBado kuna vyombo vya habari vina muda wa kupoteza na Lissu really?
Moja ya agenda yake ni simulizi endelevu ya kushambuliwa. Au hii nayo ni nje ya mada?nje ya mada
Unajikutaga jiniazi kumbe chenga tu.Bado hujazijua Spana za Lissu , Muulize jiwe alifikaje Mzena
Waulize wanaokulipaUnajikutaga jiniazi kumbe chenga tu.
Huku nyumbani kinaumanaHili Jembe linazidi kuchanja mbuga.
Achana na siasa za kipumbavu hazikufikishi popote. Unajikuta mwanaharakati unajificha nyuma ya keyboard. Utawababaisha wasio kujua.Waulize wanaokulipa
Siasa za kipumbavu ndio hizi za kudai katiba mpya ?Achana na siasa za kipumbavu hazikufikishi popote. Unajikuta mwanaharakati unajificha nyuma ya keyboard. Utawababaisha wasio kujua.
Pia alidanganya Magu kasepa sio?Huko VOA ndo alikozusha mlinzi wa Magufuli kafa kwa C-19!!
And nobody has ever held him to account!
Brother siasa hujui, jitathimini. Hata hivyo sijazungumzia katiba hapa.Siasa za kipumbavu ndio hizi za kudai katiba mpya ?
Msongo unasumbuanje ya mada