Tundu Lissu afanya Mahojiano na Voice Of America (VOA)

Tundu Lissu afanya Mahojiano na Voice Of America (VOA)

nje ya mada
Kwa vipi ni nje ya mada??? Huyo ni mzushi na sadist...utasemaje mwenzio amekufa wakati siyo kweli? Kumbuka huyo aliyesingiziwa ana Ndugu zake na watoto..je kwa taarifa hizo za kizushi familia yake ilijisikiaje?
 
Kipindi kile amehojiwa hardtalk ulisema amepata wafuasi milioni 80!

Bila shaka leo atakuwa kapata wafuasi bilioni 2

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205]
 
Wafuasi wa CHADEMA humu JF huwa hawana hoja bali VIOJA. Ukitofautiana na walichokiandika au ukijenga hoja dhidi ya CHADEMA, na hasa Mbowe (Mungu wao), ni matusi utaporomoshewa. Na ni wao hao wanadai demokrasia. UTOTO tuuuuu.
Ndio maana jamaa yao kigogo amewageuka sasa hivi anawaita intaharamwe!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wafuasi wa CHADEMA humu JF huwa hawana hoja bali VIOJA. Ukitofautiana na walichokiandika au ukijenga hoja dhidi ya CHADEMA, na hasa Mbowe (Mungu wao), ni matusi utaporomoshewa. Na ni wao hao wanadai demokrasia. UTOTO tuuuuu.
uongo mtupu !
 
mbona unauliza majibu ?
Kumbe nae ni mjinga kiasi hicho?

Badala ya apige spana ili ccm ife yeye anapiga spana ya kuua mtu?
Ona sasa hadi magaidi sasa yamekamatwa wakati angepiga spana ya kuiua ccm saa hii angekuwa ikulu!
 
Mwambieni arudi Tanzania, aache kuzurura. Aje aongoze mapambano ya kumtoa Mwenyekiti Lupango. Mbona hamjifunzi? Miaka sita ya Magu kila siku kushitaki, waliwasaidia nini hao Bwana zenu? Kwanza Lissu ajue, US wako informed kuhusu Tanzania na hali yake kuliko yeye. Wale vijana wa Namanga wanafanya kazi nzuri. Aache kutumia Fedha vibaya kuzurura duniani, aje kwa ground.
 
Bado kuna vyombo vya habari vina muda wa kupoteza na Lissu really?
..kwanini visiwe na muda nae mtu aliyeporwa ubunge wake baada ya kupigwa risasi na kupona kufa na watuwasiojulikana (lakini wanajulikana kwa serikali ya mwendazake)....wewe ndie kenge usiejua unachosema..
 
Itakuwa na matokeo hayo kama SIRRO ndiye angekuwa ameshambuliwa. Tangu shambulio liwe agenda kuu ya CHADEMA kupata kiki ya kisiasa, na Lissu mwenyewe kutafuta huruma ndani na msaada nje ya nchi, wamefanikiwa nini. Mhusika anaendelea kuuguza majeraha wakati dereva wake, huko aliko, anakula bata. Unganisha dot, usiwe na mawazo ya kinyumbu
Kichwan mtupu....!!!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amefanya Mahojiano Muhimu sana na VOA , ambapo amefafanua masuala mbali mbali ya namna hali ya kisiasa ya nchini Tanzania ilivyo kwa sasa (Tutajaribu kuweka video ikiwezekana)

Lissu ambaye yuko Marekani kwa ziara ya kikazi , hasa kuhusiana na masuala ya kisiasa na kidemokrasia anahitajiwa na Vyombo karibu vyote vikubwa vya Marekani kwa ajili ya Mahojiano , Sisi tayari tunaye mwakilishi kwenye ziara yake hiyo na tutajitahidi kuweka video za mahojiano yake yote hapa hapa JF kwa ajili ya faida ya wadau , Endelea kututegea sikio .

View attachment 1898806
Angalau sasa hivi anaonekana hanyoi "panki" tena; ameanza kukomaa.
 
Back
Top Bottom