Tundu Lissu afanya Mahojiano na Voice Of America (VOA)

Tundu Lissu afanya Mahojiano na Voice Of America (VOA)

Lissu ni hazina ya taifa. This man is talented and knows the needs of this country. Huyu baba ni jasiri. Licha ya uwezo wake mkubwa kichwani, ujasiri wake unanifanya niamini kuwa we have a president with a focus. Niwe mkweli, our intelligence corridors must begin to prepare Lissu and not his party. This is for national interest.
 
siasa ni nini , na anayejua siasa ni nani ?
Siasa ni shughuli inayohusiana na uongozi wa nchi au eneo fulani ndani ya nchi, sasa wewe Chunguza aina ya siasa unayofanya... Inshort unafanya uanaharakati.
 
Ana laana ya kushangilia kifo cha Magufuli huyo ataliwa na kulelewa mpaka mwisho wake.
 
Siasa ni shughuli inayohusiana na uongozi wa nchi au eneo fulani ndani ya nchi, sasa wewe Chunguza aina ya siasa unayofanya... Inshort unafanya uanaharakati.
Yaani kutoa taarifa ya mahojiano ya Lissu na VOA au kutoa taarifa za mikutano halali ya Chadema ndio kosa langu , unataka jf yote iimbe kuhusu ccm ? who are you by the way hadi utuburuze unavyotaka ? hii JF yenyewe haijawahi kutupangia huo ujinga unaotaka wewe kutupangia , kuna haja ya kukuweka kwenye Ignore list ili kulinda heshima yangu
 
Siasa za Tanzania upande wa Chadema zimebadilika, hii hali wanayoipitia hivi sasa wakabiliane nayo kwa werevu ili wathibitishe ukomavu wao.

Ni kama vile CCM na polisi wameamua kuwavuruga viongozi wa Chadema ili kuwatawanya wanachama wao, piga kiongozi ili waliobaki wakose uelekeo, na shughuli za chama chao zipoe.

Kumsubiri Samia awaruhusu Lissu na Lema warejee nchini wakati akijua fika huko kutakuwa ni sawa na kuiimarisha Chadema linaweza kuwa suala gumu, asisubiriwe, mapambano yaendelee.

Muhimu viongozi waliopo washirikiane na waliopo nje kupanga mikakati mipya namna ya kufanya siasa, namna ya kuimarisha chama, wananchi wasiachwe walale sababu Mbowe yupo gerezani, madai ya Katiba Mpya yaendelezwe hata kama polisi wanaendelea kukamata wanachama kila kukicha.
Our only Tanzanian president
 
Yaani kutoa taarifa ya mahojiano ya Lissu na VOA au kutoa taarifa za mikutano halali ya Chadema ndio kosa langu , unataka jf yote iimbe kuhusu ccm ? who are you by the way hadi utuburuze unavyotaka ? hii JF yenyewe haijawahi kutupangia huo ujinga unaotaka wewe kutupangia , kuna haja ya kukuweka kwenye Ignore list ili kulinda heshima yangu
Whatever action you take mzee...
Hayo uliyo andika ni mawazo yako. Nilicho zungumza ni aina ya siasa uzifanyazo sio siasa ni uanaharakati na umeniuliza nini maana ya siasa.

Umeguswa kidogo tu unakimbilia CCM, jenga hoja Chief, mimi CCM sio baba yangu wa mama yangu na sio kila mtu anae kwenda kinyume na wewe ni mwana CCM au analipwa kama hoja yako uliyotoa kwenye reply za mwanzo na reply unazo wajibu watu kila mara wanao kwenda kinyume na wewe.

Therefore who are you by the way hadi nikuogepe kuniweka kwenye ignore list? Na ni wangapi utawa ignore? Njia pekee ya kupambana na kuonesha ufia nchi wako ni ku accept challenges.

Big Time.
LMFAO [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Itaendelea kuwaandama na kuwanyima usingizi SIRRO na nyie washikaji wake mpaka kwenu Mwibagi.
Itakuwa na matokeo hayo kama SIRRO ndiye angekuwa ameshambuliwa. Tangu shambulio liwe agenda kuu ya CHADEMA kupata kiki ya kisiasa, na Lissu mwenyewe kutafuta huruma ndani na msaada nje ya nchi, wamefanikiwa nini. Mhusika anaendelea kuuguza majeraha wakati dereva wake, huko aliko, anakula bata. Unganisha dot, usiwe na mawazo ya kinyumbu
 
Whatever action you take mzee...
Hayo uliyo andika ni mawazo yako. Nilicho zungumza ni aina ya siasa uzifanyazo sio siasa ni uanaharakati na umeniuliza nini maana ya siasa.

Umeguswa kidogo tu unakimbilia CCM, jenga hoja Chief, mimi CCM sio baba yangu wa mama yangu na sio kila mtu anae kwenda kinyume na wewe ni mwana CCM au analipwa kama hoja yako uliyotoa kwenye reply za mwanzo na reply unazo wajibu watu kila mara wanao kwenda kinyume na wewe.

Therefore who are you by the way hadi nikuogepe kuniweka kwenye ignore list? Na ni wangapi utawa ignore? Njia pekee ya kupambana na kuonesha ufia nchi wako ni ku accept challenges.

Big Time.
LMFAO [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wafuasi wa CHADEMA humu JF huwa hawana hoja bali VIOJA. Ukitofautiana na walichokiandika au ukijenga hoja dhidi ya CHADEMA, na hasa Mbowe (Mungu wao), ni matusi utaporomoshewa. Na ni wao hao wanadai demokrasia. UTOTO tuuuuu.
 
Back
Top Bottom