Tundu Lissu afanya Mahojiano na Voice Of America (VOA)

nje ya mada
Kwa vipi ni nje ya mada??? Huyo ni mzushi na sadist...utasemaje mwenzio amekufa wakati siyo kweli? Kumbuka huyo aliyesingiziwa ana Ndugu zake na watoto..je kwa taarifa hizo za kizushi familia yake ilijisikiaje?
 
Kipindi kile amehojiwa hardtalk ulisema amepata wafuasi milioni 80!

Bila shaka leo atakuwa kapata wafuasi bilioni 2

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205]
 
Wafuasi wa CHADEMA humu JF huwa hawana hoja bali VIOJA. Ukitofautiana na walichokiandika au ukijenga hoja dhidi ya CHADEMA, na hasa Mbowe (Mungu wao), ni matusi utaporomoshewa. Na ni wao hao wanadai demokrasia. UTOTO tuuuuu.
Ndio maana jamaa yao kigogo amewageuka sasa hivi anawaita intaharamwe!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wafuasi wa CHADEMA humu JF huwa hawana hoja bali VIOJA. Ukitofautiana na walichokiandika au ukijenga hoja dhidi ya CHADEMA, na hasa Mbowe (Mungu wao), ni matusi utaporomoshewa. Na ni wao hao wanadai demokrasia. UTOTO tuuuuu.
uongo mtupu !
 
Mahojiano hayajawekwa tayari vita ya maneno imetawala hata hatujasikia kile Lissu ameongea πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ JF hatuna subra kabisa
 
mbona unauliza majibu ?
Kumbe nae ni mjinga kiasi hicho?

Badala ya apige spana ili ccm ife yeye anapiga spana ya kuua mtu?
Ona sasa hadi magaidi sasa yamekamatwa wakati angepiga spana ya kuiua ccm saa hii angekuwa ikulu!
 
Mwambieni arudi Tanzania, aache kuzurura. Aje aongoze mapambano ya kumtoa Mwenyekiti Lupango. Mbona hamjifunzi? Miaka sita ya Magu kila siku kushitaki, waliwasaidia nini hao Bwana zenu? Kwanza Lissu ajue, US wako informed kuhusu Tanzania na hali yake kuliko yeye. Wale vijana wa Namanga wanafanya kazi nzuri. Aache kutumia Fedha vibaya kuzurura duniani, aje kwa ground.
 
Bado kuna vyombo vya habari vina muda wa kupoteza na Lissu really?
..kwanini visiwe na muda nae mtu aliyeporwa ubunge wake baada ya kupigwa risasi na kupona kufa na watuwasiojulikana (lakini wanajulikana kwa serikali ya mwendazake)....wewe ndie kenge usiejua unachosema..
 
Kichwan mtupu....!!!
 
Angalau sasa hivi anaonekana hanyoi "panki" tena; ameanza kukomaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…