Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

"Nchi hii inaihitaji Dunia, Dunia haituhitaji sisi, korosho tunalima peke yetu?, kahawa tunayo peke yetu? pamba tunalima peke yetu?, dhahabu tunayo peke yetu, tuna kitu gani 'actually' Dunia ikihitaji haiwezi kupata zaidi ya nchi yetu"- Lissu.
 
"Katiba ya Ghana inasema 'there shall be no censorship of the press', hakuna kuwafata wahariri na kuwaambia usiandike hiyo, hiyo kitu ya 'censorship' haitakuwepo kwenye serikali ya @ChademaTz " #LissuPress
 
“Kumbe wakati mwingine polisi wanafanya kazi zao kwa weledi lkn wanakuwa ‘victimized’ wanapokataa maagizo toka juu”. Tundu Lissu.
Haya maneno mengi hakuna tofauti na ya sisi watafuta PAPA.
Ukiisha pata aandike maumivu hakuna kutimiziwa.
Sasa NYUMBU Kwa akili zenu mnaona mmepata mkombozi kumbe ni taabu zaidi.
 
Haya maneno mengi hakuna tofauti na ya sisi watafuta PAPA.
Ukiisha pata aandike maumivu hakuna kutimiziwa.
Sasa NYUMBU Kwa akili zenu mnaona mmepata mkombozi kumbe ni taabu zaidi.
Kila mtu na udhaifu wake lkn hauwezi kulingana, udhaifu wa Mwinyi ni tofauti na udhaifu wa Kikwete, Magufuli ni tofauti na wa Lissu.
 
Sasa hapo ndipo ninapotofautiana na Lissu. Ubeberu ni real, na asitufanye kwamba hatuoni uhuni wa mashirika makubwa ya kibeberu yanayojikita katika nchi maskini yakitake advantage ya mifumo mibovu ya usimamizi wa raslimali ya serikali za nchi maskini.

Pili, kauli za style ya Lissu anayeizungumzia nchi yake kama isiyojiweza na inayetegemea serikali za magharibi ili tuishi ni kauli za kipumbavu mtu yeyote huru na anayejiamini na anayoipenda nchi yake hawezi kuiunga mkono. Kwamba sisi hatuwezi kujitegemea? Huku kujidharau abaki nako yeye, sisi tunaweza na tunajiweza inferiority complex aliyo nayo yeye ni yake mwenyewe.
 
Dunia ni kijiji mkuu nchi zinategemeana ndio maana viongozi wako wengi huenda kutibiwa Apolo India hata Dreamliner haikutengenezwa Chato Geita imetoka kwa mabeberu.
 
Agusie na jinsi atakavyowatetea James Delicious na Amber ruty kwenye hukumu yao
Wasanii wasio CCM nadhani ni Roma Mkatoliki pekee wengine wote wapo kuunnga mkono juhudi zisizo na tija!!! Najua unajua ila unajifanya juha!!
 
... speech ya less than an hour ila imeshiba nondo za ajabu. Yule mwingine hata kujibu maswali aliyoulizwa Lissu sidhani kama angejibu zaidi ya kuhemuka actually wala asingejua ameulizwa nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…