Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

Interest of the party not you personally. Rest of what you wrote, you miss me with that, it's an insult on both our intelligence. Sheria zinapita kwa hati ya dharura kitu ambacho sijawahi kuona kabla ya awamu hii, kwa kuungwa mkono na asilimia 100 ya chama (Kati ya mamia ya wabunge hakuna hata 1 anayewaza tofauti ) halafu ndani ya mwaka inabadilishwa pengine kwa presha ya wahisani. Kama sio failure ya chama kufanya kazi yake, acquiescing to the whims of one one man, ina maana hawa wabunge hawakuona hayo mapungufu hadi mhisani akawaonyesha? Hiding behind empty rhetoric of due process is played out, Nyerere alishtakiwa kwa uchochezi, Mandela alifungwa, huku due process ikifuatwa. Hata hivyo, taratibu zisipofuatwa kwenye procurement za serikali haya mahaba ya kufuata taratibu yanaendaga wapi?
I know you are smarter than you present, it's only fair you accord your readers' intelligence the same level of respect.
First you accused the government of enacting laws without respecting the due processes. Asked to name at least one law in particular which was passed undemocractically you moved your quiries to different matters.

Sheria kupita kwa hati ya dharura sio mara ya kwanza ata wakati wa JK kuna sheria za Mafuta na Gas wakati Muhongo akiwa waziri wa nishati na madini hilo lilishafanyika.

Kingine laws are proposed by humans and some attempt to reinforce the moral views of those in power. Trouble with that whenever morality is involved there is bound to be clash of opinion.

Powerful nations can get away with ‘legal positivism’ arguments on moral issues that the government has the mandate to do so.

Whereas the same rule does not apply to poor nations. Laws which clash with western moral views can lead either government pressure to be changed or encounter penalties for failure to comply. Na utakuta watu kama nyie ndio mnachochea huko mitandaoni serikali yenu iwe sanctioned.

Lakini aina maana hata huko kwenye liberal democracy sheria zote zina merit and public support. Besides malalamiko yapo so general aupo specific unalalamikia sheria gani wala aspects zipi ndani yake; surely you’re better than that.
 
Sijui hata pa kuanzia kumsababisha Benki ya dunia aingilie kati sheria ya takwimu. Wanaokimbilia kuchochea huko Wana sababu, naamini tungesikilizana wenyewe kusingekuwa na haja. Ulitaka specifics, moja hiyo. Due process inayopitisha sheria ya takwimu kwa hati ya dharura, na support ya 100% ya wabunge wa chama, sheria ambayo sidhani kama kabla haijapita, ilikuwa hitaji la wananchi, sheria ambayo haiakisi morality kama ambavyo unajaribu kureason. That's your due process, a law without a moral justification, virtually no public support, passed by a parliamentary system in a supposed representative democracy. Mfano mwingine ni sheria ya kutoshtakiwa kwa viongozi, inamsaidia nini mwananchi Hadi ihitaji udharura ni Mungu tu na 100% ya wabunge wa chama Dola ndio wanajua. Hakuna mwenye mawazo tofauti kati yao, it's perfect, hamna la kuongeza au kupunguza. Ndio due process hiyo.

Pale ambapo wananchi walipata nafasi ya kutoa maoni yao moja kwa moja bila kupitia wabunge, wakasema matakwa yao kwenye mabadiliko ya katiba, wakachagua wawakilishi, na tuko kwenye mchakato wa kuchagua tena. Direct, unfiltered, expression of interests of the public. Due process hii imefuatwa au inafuatwa kwenye haya?
Kama sio intellectual dishonesty sijui ni nini.
 
I can accept the moral concern kwenye sheria inayokataza viongozi kushitakiwa.

But kila sheria ina sababu zake za msingi I won’t go into details kwenye hiyo sheria ya kutoshitakiana kwa sababu sijaisoma kuelewa the logic behind.

Nimesikia sikia tu mwanasheria mkuu sijui awezi shitakiwa moja kwa moja bali unaweza ifungulia kesi serikali au sijui taasisi gani kwa niaba yake. Now the logic of that inaweza kuwa ‘vicarious liability’ akiwa kama mtumishi wa serikali anachofanya ni kuiwakilisha tu; ivyo makosa yoyote ambayo anaonekana katenda katika kutimiza majukumu yake yapelekwe kwenye taasisi anayoiwakilisha that is normal legal approach kwenye tort Law.

Nina uhakika chances are kwenye hiyo sheria kuna aspects zinazoonyesha mambo ambayo anaweza beba yeye mwenyewe, like I said sijaisoma sheria hila watanzania wanatabia ya ku exaggerate mambo kushinda uhalisia ukisoma sheria yenyewe.

Pili swala la takwimu japo sijaisoma hiyo sheria I can see the logic behind ni hivi watu wamekuwa wakitumia data za kuokoteza mitandaoni na kujenga hoja potofu juu ya mambo mbali mbali kuhusu mwenendo wa nchi au kutumia data za studies uchwara zilizofanywa kiholela findings zake hazina merit za longitudinal studies, au sijui sample size ndogo za twaweza kwenye research zao, halafu demographic ni sehemu moja; unataka kutumia hizo findings kufanya conclusion kweli.

Surely hizo sio statistics za kutumia kujengea hoja hilo tatizo lilianza kushamiri and there was a need of government intervention; tatizo ni kwenye kutunga sheria they went overboard with the control of accessing and publishing data.

Lakini aina maana serikali ilitakiwa ikalie kimya if you ask me that problem still persist not enough has been done yet.
 
Suluhu ya research zisizokidhi viwango na takwimu mbovu, ni research zinazokidhi na uwazi kwenye taarifa. Vingine na hapo ni upofu tu. Kama unaamini anayejua kufanya tafiti ni serikali tu na takwimu sahihi ni zile rasmi tu, kamwe hatutaelewana.
Nakubali kila sheria ina sababu za msingi. Tofauti yetu ni kwamba, pamoja na kukubali hujazisoma na hujui logic nyuma yake, umeamua kuishia hapo na kukubali zina merit. Irrationality if you ask me, kama sio appealing to authority if not petty partisanship. Sheria za serikali ya makaburu na Jim Crow laws zilikuwa na sababu pia. Na Kwa jamii husika, wakati huo, pengine zilikubalika na tabaka tawala kuwa zilikuwa ni za msingi pia. Unasahau ulisema kwamba Kwa kuwa due process imefuatwa, hatuna la kuhoji. Despite the fact kwamba kuna zilizobadilishwa ndani ya mwaka mmoja toka zipitishwe kwa overwhelming support.
Nikurudishe tulikotoka. Ulisema urais ni serious business, sio ya kujaribiwa. Na kwa hili tunakubaliana. Tunatofautiana kwenye tafsiri. Kila mara tunapochagua Rais mpya, tunajaribu. Huko nyuma, tumepita salama pengine credit to CCM's vetting processes, na nguvu ya vyombo vya ndani vya maamuzi vya chama kusawazisha wanapoona mambo yanakwenda sivyo. Sasa sijui kama tunaweza kuendelea kuwaamini kwa mazingira ambapo wamekaa kimya, na pengine kubariki mambo ya msingi kama utungwaji sheria mbovu, haki za binadamu, katiba kuchezewa, siasa chafu, amani, equitable distribution ya keki ya taifa, mahusiano ya kimataifa n.k. Wa kuongelea seriousness ya taasisi ya uraisi sio waliokaa kimya kwenye haya. Maana sijui kama kuna vilivyo serious zaidi ya haya.
 
Asilimia kubwa ya data duniani za mambo ya uchumi ni ofisi rasmi ya takwimu za nchi husika ndio wanaojua ukweli. Kwetu ni NBS, Benki Kuu na taasisi zingine zinazokusanya data rasmi.

Hakuna mtu mwingine mwenye kuweza kuja na data sahihi duniani zaidi ya taasisi za serikali ata report za kimataifa kama za IMF kuhusu Tanzania zinatokana na data za serikali wanakutana kwenye kujadiliana maendeleo au kukopeshana, kwa utaratibu lazima uonyeshe evidence za data zako za kiuchumi na ndio wanazozitumia kufanya projection zingine za kiuchumi kwenye report zao based on historical trend na taasisi zingine data za Tanzania wanatumia hizo hizo walizo nazo IMF/WB.

Kwa ivyo unapotumia takwimu lazima ziwe from credible sources au kama ni research binafsi basi walau sample size iwe inaridhisha na questionnaire iwe open isije kuwa uliweka leading questions tu ili upate replies zinazo halalisha bias yako (now that’s not ethical).

Uwezi kuhoji watu 500 ukahitimisha research ya kitaifa kama wanavyofanya twaweza, uwezi kuangalia kesi mbili ukasema serikali inakandamiza demokrasia. Uwezi kuhitimisha mahusiano yetu ya kimataifa yamepwaya kisa raisi asafiri.

Tulipokuwa tunaelekea that was becoming the norm mtu anajifanyia majumuisho yake ya jumla jumla without sufficient supporting evidence na kupotosha jamii that was unacceptable serikali inajukumu la kutoa elimu pia kwa raia wake na kuhakikisha wanapata taarifa sahihi. Kwa ivyo sheria ya takwimu ilikuwa na ulazima.

Sasa mtu kama Lissu ambae mwanzo mwisho anaongopa tu huyo yupo serious kweli na kazi anayoomba?
 
Back
Top Bottom