Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

Uko sahihi mkuu, mim nilikuwa nanunua sana gazeti la mwanachi na jumapili lazima ninunue The Citizen, lakini kwa sasa never never bora nipate habari kupitia JF tu.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Lissu ndie mwanaume anayeongea kwa sasa nchi hii jiwe anaonekana mpuuzi tu
Mtatutambua tukishaingia Ikulu
Saizi fanyeni yooote mwezayo maana ndii wenu wa kujiachia, pazia likifungwa hatutaki Kelele za vijana maana mda huo tutakuwa kazkazi tu
 
Kujiweza ni kujiweza, mkuu, siyo kusema tunajiweza! Miaka mitano tumekopa zaidi ya awamu zote combined! Na misaada tunapewa sana, juzi kati tu hapa Zito alituchoma kwa ‘Mabeberu’ tunyimwe msaada, ccm wote mkasema msaliti, Baba mkwe, Bulembo, akaenda mbali akasema Lisu auawe!! Tunataka msaada sana, na tunasaidiwa sana!! Tatizo letu, unakula ukishiba unamtukana aliye kulisha!
 
Mtatutambua tukishaingia Ikulu
Saizi fanyeni yooote mwezayo maana ndii wenu wa kujiachia, pazia likifungwa hatutaki Kelele za vijana maana mda huo tutakuwa kazkazi tu
Lissu aliulizwa kama jiwe angekuwa pembeni yako hapo ungemwambia nini akajibu ningemwambia nakushinda uchaguzi.
Mwaka huu maamuzi yatakuwa ya watu sio ya tume.
 
Kusikia watasikia lakini hawataandika hayo anayoongea
 
Rais anaongea na wanahabari
 
Rekebisha kichwa cha habari tafadhali kidomeke Tundu Lissu anaongea na Misukule

Anayeongea na Vyombo vya Habari ni 1 tu
... ha ha ha! Speech ya Lissu haina vijembe ni facts tupu; haina matusi ya rejareja mfano kuwadhalilisha akina mama mbele ya kamera ni facts tupu. Inatoa strategic vision; taifa limetoka wapi, liko wapi, na linapaswa kuelekea wapi ili kuondokana na "stand-still" ya tangu uhuru. Msikilize Mh. Lissu upate elimu ya bure ngazi ya masters hata kwa wasiowahi kuingia darasani wamenufaika na masters za bure za Lissu.
 
Bro Lissu ni zaidi ya mwalimu, anetulia, amenyooka, ana msimamo thsbiti na amedhamiria
 
NEO COLONIALISM
Hajajibu vyema hili swali, akiwa Rais ataifanyia nini Tz
Anachodai Tz haiwezekani kwenda pasipo hao (ina maana anaridhika rasilimali zetu kkuchotwa)

Historically..
African countries are being exploited by Rich countries (How Africans leadership can reduce that). Yeye zaidi anadai kudumisha mahusiano hayo.

Mengine kajibu vyema na kuwapa matumaini Watanzania

God bless TANZANIA
 
... neo colonialism ni slogan za mavyama ya kijamaa kuwapumbaza wanachi ili watawala waweze kula vizuri keki ya nchi bila kubugudhiwa. Sijui mtawala unapojenga international airport kijijini kwako ambao utautumia wewe na familia yako tu unakuwa unawaza nini vile? Kufumua mfumo mzima wa utawala; Katiba mpya; na kufumua sheria za kipuuzi ni suluhisho la la matatizo mengi.
 
Ami MUNGU akubariki !
 
"Katika siasa mtaji ni watu. Ukitaka kujua mwanasiasa anaungwa mkono au haungwi mkono kiasi gani, ishara ni watu wangapi wamekwenda kumsikiliza. Lakini hakuna mwanasiasa anayeuliza kama wanaokwenda kwenye mikutano yake wamejiandikisha."- Mgombea Urais (CHADEMA), Tundu Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…