Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

... "suti kali" wanazovaa watumishi wote nyumba kubwa, mjengoni, n.k. zimetoka huko huko; hadi ch*p* wamekusitiri halafu domo halipungui shombo dhidi yao.
 
Wakuu video inayomalizia maswali ya Makato ya bodi ya mkopo na mengineyo ni ipi?
 
Shati anazovaa huyu Tundu Lisu ni classic sana. Uzi wa CHADEMA (hizo shati zenye rangi tofauti tofauti, red, black, white and light blue) mwaka huu ni hatari sana, naweza zipata vipi hata mbili tofauti.
 
Ni ujinga kusema eti sasa hivi chadema wako organized kulilo enzi za Slaa na Lowasa

Ungesema Slaa tu ungekuwa uko karibu na ukweli, ila kumtaja na Lowassa inaonekana hujui usemalo. Lowassa hakuja cdm kuiboresha kama taasisi, bali alitaka urais tu, na alijua cdm ina mtaji wa watu hivyo alitoa hela za kutosha, kwa viongozi wachache wahuni wa Cdm ili apate nafasi hiyo? Lowassa hakujali kama cdm iko organized ama la, bali alitaka urais tu. Si vibaya kama Magufuli naye ana uwezo akahojiwa na waandishi wa habari ili tuone uwezo wake.
 
Tunahitaji uhuru kamili sio wa kuwa censored au kupangiwa cha kusema.
Yeye mwenyewe Lissu hana uhuru kwa wazungu waliomtuma wamemfanya kama panya wa maabara wamemfunga devices mwili mzima asije akawatoroka na madeni baada ya kukosa urais aliowaahidi kwamba atapata wakati anajua wazi kwamba anaonhea usanii mtupu na sio sera ya chama chake, ni kichaa peke yake atakayempigia kura Lissu
 
Wewe kweli kishoka wa uchumi!
 
Ninakubaliana na Waziri mkuu, . . Urais si mchezo, unahitaji mtu;

Makini,

Msomi,

Muelewa,

Mwenye busara,

Mwenye Utu,

Mtanzania mzalendo;

Anayetambua Urais ni Taasisi na si mtu binafsi! . . Katika Uchaguzi huu mtu huyo ni Tundu Lissu!!
 
Tunahitaji uhuru kamili sio wa kuwa censored au kupangiwa cha kusema.
Kuna nchi ambayo haifanyi censorship??

Kama iko hivyo kisa cha Snowden kukimbia US nini??

Kwanini Julian Assange bado naye ni mkimbizi mpaka sasa??
 
"Kama wazungu wasingekuepo waafrica tungekua tunachinjana kama kuku " Mark my words!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Bad thing is, CCM is like a whale, u can not fish it with a local small netted boat!!
 
Ndugu mimi ni raia tu wa kawaida na wala sina mpango wa kuajiriwa serikalini wala kugombea nafasi ya siasa leo wala kesho.

Kama mtanzania mzalendo sijifikirii maslahi ya mimi peke yangu nafikiria na wenzangu, wengi wetu ni maskini huo ndio ukweli wenyewe.

Magufuli is not perfect lakini anachokifanya ni stage ambayo lazima tuipitie kama tunataka kuongeza productivity swala ambalo litaleta ajira na kusaidia familia nyingi mbele miundombinu na culture ya nidhamu serikalini lazima iwepo.

Kwanza ukiniuliza mimi nikwambie ukweli ntakwambia huyo Magufuli mwenyewe he is not doing a good job kwenye kubadilisha tabia za wafanyakazi serikalini ili kuleta nidhamu issue sio kutisha watu bali ni systematic.

Overall kama raisi he is doing what needs to be done kwa manufaa ya watanzania wote USA isingeendelea bila ya reli na wala kanchi kadogo kama UK kasinge endelea bila ya canal na baadae railway.

You need to give access kwa wafanyabiashara ili wazifuate fursa za resource, kujenga miundombinu is a nasty job inayotumia hela nyingi ya serikali lazima kuna opportunity cost zake matumizi mengine inabidi yasimame kama mishahara.

But someone has to take one for the nation na ndio anachofanya Magufuli kizazi cha kesho kitamshukuru sana.
 
Kweli ww kilaza aka kiazi
 
Nilifikiri umekuja na facts.
 
Kuna nchi ambayo haifanyi censorship??

Kama iko hivyo kisa cha Snowden kukimbia US nini??

Kwanini Julian Assange bado naye ni mkimbizi mpaka sasa??
Haya ma misukule ya Lissu ni mehu, hayaamini chochote zaidi ya utapeli wa Lissu aliyefungwa Devices na wazungu asijewayotoroka na madeni yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…