Tundu Lissu afanya misa ya shukrani Ikungi, Singida. Aahidi kutompitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia

Tatizo lako ni kuangalia TBC na Chanel ten muda wote sasa utajuaje kama aliwahi kufika Ikungi?
Hizo tv stations unazoangalia zenyewe zinakaa kichuki chuki na kichawi chawii ukitaka kutoka kifungoni achana nazo kwanza.
Alirudi lini na alifika lini?
 
Wacha upumbavu wako wewe.Hapa yuko wapi? Hujielewi umekalia kupotosha na muongo mkubwa ww
 
Nimehoji kuanzia alipokuja Tanzania.
Nimehoji speech zake.
Nimehoji kabla ya kuondoka kwake.
Usijibu kisanii jombii jibu hoja....
yaani anaahidi mkate nyumba za jirani wakati home kuna uporo wa ugali??
Akianzia campaign nyumbani si mtasema ni mkabila, sijui ni mkanda !!.

Kama mnakubalika "Jingalao". Acheni figisu wananchi waamue mustkbali wao .
Mambo kama ya kuengua wagombea wa upinzani ni uoga . Lakini pili wakurugenzi na watendajj kuwakimbia wagombea ni zaidi ya uoga.
 
Magu amekuwa kwenye dola na ameshika dola hivyo kuibadilisha Chato ni rahisi sana kwake kuliko Lissu asiye kusanya kodi wala kusimamia matumizi yake kwakuwa hana dola. Uliza Ndugai kafanya nini Kongwa? Mkapa alifanya nini Lupaso na Masasi? Usipoelewa hapo itabidi tukubadilishe jina uitwe Pumbavu lao
Chato kulikuwa na Taa za barabarani kabla ya Singida.by the way kwa miaka 20 hata kama hakuigusa chato lakini aliibadilisha Tanzania.
sasa nitajie huyo mlalamikaji wenu kaifanyia nini Singida Mashariki ??
 
Point ya tatu
Mbaya zaidi na wew akili ya mkopo
 
Sio issue ya kuanzia kampeni nyumbani ...ni issue ya kwenda kuwasalimu wapiga kura waliowahi kumpa dhamana....
Kwa sababu ya arrogance huwa haendi jimboni na baada ya kurudi aliamua kuwasusa haswa
 
Baada ya kuchukua fomu Dodoma, Lissu alinda kwao Mahame na du ia inajua
 
Lisu ana tabia ya kutojali
 
Mpeleke
 
Sio issue ya kuanzia kampeni nyumbani ...ni issue ya kwenda kuwasalimu wapiga kura waliowahi kumpa dhamana....
Kwa sababu ya arrogance huwa haendi jimboni na baada ya kurudi aliamua kuwasusa haswa
Tatizo lako umekomaa na TBC
 

Je wewe ndiye unayeratibu safari za Lissu?
Je umetumwa na watu wa singida au umejituma?

Nakushauri tu kwa nia njema - Toa msumari uliko kwenye makalio ili uweze kukaa chini utoe msumari ulioko kweny mguu.
 
Umesahau kuwa kuna thread humu mkilalamika alivyoipendelea Chato akiwa waziri?Tatizo lenu mmenunuliwa simu halafu hamjapewa uwezo wa hoja
Nimemiliki simu kabla ujazaliwa; napajua Chato na Magufuli zaidi unavyodhani. Kikubwa ni hoja yako haina mashiko; nimejenga adi kanisa la humo mlimani.

Hoja ni kua Lisu hajaenda kwao Singida tokea arudi kutoka Ubelgiji? jibu ni hapana sasa kama kumbukumbu ya siku Lisu alipokwenda kwao Singida huna umakini gani sasa?

Hoja kua Lisu atalifanyia nini wanaSingida nako ni kituko kwasasa anatwambia ataufanyia nini waTanzania mpaka na sisi wana Mpimbwe.
Magufuli aliposema wanaBusega na wanaBunda wasipomchagua hatawaletea Lami na maji ndo furahaa kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…