Tundu Lissu afanya misa ya shukrani Ikungi, Singida. Aahidi kutompitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia

Tundu Lissu afanya misa ya shukrani Ikungi, Singida. Aahidi kutompitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia

Kama naliona boxer lako lilivyo elemewa na gogo
Ungemueleza tu kwamba hakukuwa na mafuso ya kuwabeba washangiliaji.Kama anazo akili kichwani angeelewa kwamba Lissu haku-publicise misa ya shukrani ili vizabizabina kama yeye waende kupiga naye picha😂😂😂😂
 
Safi sana! Mheshimiwa Lissu Tumsifu Yesu Kristu...!!
 
Kama naliona boxer lako lilivyo elemewa na gogo
Haya matusi yenu ndio yanafanya vyombo vya habari vinaogopa kua live kwenye mikutano yenu. Mimi nawasihi waendelee kuwaogopa kwasababu sheria zipo.
 
Haya matusi yenu ndio yanafanya vyombo vya habari vinaogopa kua live kwenye mikutano yenu. Mimi nawasihi waendelee kuwaogopa kwasababu sheria zipo.
Hivi ikitokea umeoneshwa matusi utayatambua?Au ukielezwa ukweli unajua umetukanwa?Kwapa la mende!😂😂😂😂
 
Hivi ikitokea umeoneshwa matusi utayatambua?Au ukielezwa ukweli unajua umetukanwa?Kwapa la mende!😂😂😂😂
Mkuu pole sana usilie mchezo wa siasa ndiyo ulivyo. Siku mkibadilika na kuacha matusi, vyombo vya habari vitarusha matukio yenu live kwa kujiamini.
 
Haya matusi yenu ndio yanafanya vyombo vya habari vinaogopa kua live kwenye mikutano yenu. Mimi nawasihi waendelee kuwaogopa kwasababu sheria zipo.
Mmeshadata dadeeeki hiyo ndiyo cdm yaani ni sawa na maji, usipo yanywa basi utayaoga.

Mlijidanganya kuwa cdm imekufa baada ya kufanya biashara ya utumwa na walio jiondolea thamani yao wenyewe.
 
Wanafanya siasa kanisani hongera wakatoliki songea Askofu alikataa katakata mtu kuingia kanisani na nguo za chama

Chadema mnafanya siasa kanisani CCM tukifanya msipige yowe
 
Amesema asingependa mtu mwingine apitie hali aliyopitia yeye......

Lisssu ni mtu mwema sana ila pia hakubali kuonewa hata kidogo
 
Kwa kweli ni Jambo jema kumshukuru Mungu hasa kwa madhira yaliyomkuta. Nami namuombea heri na afya njema katika harakati zake za kutafuta wadhamini.
#MUNGU ASIYESHINDWA#
 
Back
Top Bottom