Lisu nje ya chadema ataishi vizuri kwani ni mwanataaluma lakini mbowe inje ya chadema atazeeka kwa mawazo njaa kwani pesa yote atamaliza kwenye kampeni akikosa uenyekiti atachanganyikiwa
Kufukuzwa ndiyo nini? Kuondoka kwa aibu ndiyo nini? Chadema ni bank? Chadema ni uhai ni pumzi? Hakuna cha Aibu hata akifukuzwa atakuwa shujaa kwani Lisu ana watu wengi pia hawezi kosa pa kwenda au cha kufanya, chadema siyo mungu kuwa ni pa kukaa milele, Kumbuka huu ni uchaguzi ulitaka Lisu asiongee udhaifu na mapungufu ya mbowe kisa eti atafukuzwa? Mfukuzeni muone chadema itakuwa kama TLP NCCR na CUF lipumbaUsiwe na shaka. Kwa taarifa nilizonazo Lissu LAZIMA afukuzwe Chadema au aondoke kwa aibu!
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Mbowe hawezi kufanikiwa kwa kuwatuma nyinyi mbumbumbu vilaza kumtetea humuHiyo minyoo iwahi kabla hujawehuka kabisa.
Kaka nashukuru sana kwa kumuunga mkono mjomba wangu, kazi iliyobaki ni kutetea kikoba chetu kirudi uchagani. Pia malizia ada ya uanachama ili tukalipie deni la mbege iliyotumika jana.Wewe kama Nani?
Dogo mapesa ya Abdul na Mbowe yamekuchanganya, sivyo?Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA.
Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana. Amedanganya kila kitu. Wakati anajua kila kilichotokea CHADEMA ikiwa ni pamoja na mambo ya kihalifu, Lissu hawezi kujitenga na upuuzi wa CHADEMA.
Kwa wasiokumbuka, Lissu alishabikia vitendo vya udhalilishaji alivyofanyiwa mkuu wa wilaya wa kike na wahuni wa CHADEMA. wakati huohuo alisimamia waziri mmoja wa leo (hakuwa waziri wakati ule) kutekwa Nyara na wahuni wa CHADEMA.
Lissu amesimamia maamuzi yote ya kuwafukuza na kuwaaibisha waliojaribu kugombea uenyekiti huko nyuma akiwa mwanasheria mkuu wa Chama akifikia kuwatuhumu kwa uhaini dhidi ya chama.
Ni yeye aliyetetea mafisadi wakubwa walipoanza kufikishwa mahakamani wakati ule na akageuka mtetezi wa mafisadi.
Lissu alihusika kuficha taarifa za wanachama kukituhumu chama kuhusika na ajali ya kada aliyekuwa amejipenyeza Chadema kikachero lakini wakamgundua na kumuwahi.
Naam, Lissu amekuwa katili na asiye na Roho ya utu hata kidogo. Alishangilia kifo cha Mwenyekiti wa CCM kilipotokea.
Binafsi sina maslahi na nani anaweza kuwa mwenyekiti. Mimi natamani Lissu naye sasa apitie kile ambacho yeye mwenyewe aliwapitisha wenziye. Afukuzwe uanachama wa Chadema haraka na bila huruma.
Kwaiyo jana alivowaita mkale X mass kwake,
Ndio mmeanza kazi rasmi leo? Sasa mbn kazi mmepewa vilaza
Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA.
Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana. Amedanganya kila kitu. Wakati anajua kila kilichotokea CHADEMA ikiwa ni pamoja na mambo ya kihalifu, Lissu hawezi kujitenga na upuuzi wa CHADEMA.
Kwa wasiokumbuka, Lissu alishabikia vitendo vya udhalilishaji alivyofanyiwa mkuu wa wilaya wa kike na wahuni wa CHADEMA. wakati huohuo alisimamia waziri mmoja wa leo (hakuwa waziri wakati ule) kutekwa Nyara na wahuni wa CHADEMA.
Lissu amesimamia maamuzi yote ya kuwafukuza na kuwaaibisha waliojaribu kugombea uenyekiti huko nyuma akiwa mwanasheria mkuu wa Chama akifikia kuwatuhumu kwa uhaini dhidi ya chama.
Ni yeye aliyetetea mafisadi wakubwa walipoanza kufikishwa mahakamani wakati ule na akageuka mtetezi wa mafisadi.
Lissu alihusika kuficha taarifa za wanachama kukituhumu chama kuhusika na ajali ya kada aliyekuwa amejipenyeza Chadema kikachero lakini wakamgundua na kumuwahi.
Naam, Lissu amekuwa katili na asiye na Roho ya utu hata kidogo. Alishangilia kifo cha Mwenyekiti wa CCM kilipotokea.
Binafsi sina maslahi na nani anaweza kuwa mwenyekiti. Mimi natamani Lissu naye sasa apitie kile ambacho yeye mwenyewe aliwapitisha wenziye. Afukuzwe uanachama wa Chadema haraka na bila huruma.
Ahahahahaha! Eti Lissu ana watu wengi, KUMBAVU! Alivyopigwa risasi walifanya nini hao watu wengi? Siku ile baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 alipokuwa anakimbia airport ili aende Ubeleji mbona alikuwa peke yake na Maafisa wa Ubalozi wa EU tu? Hao watu wengi alionao walikuwa wapi? KUMBAVU!!!Kufukuzwa ndiyo nini? Kuondoka kwa aibu ndiyo nini? Chadema ni bank? Chadema ni uhai ni pumzi? Hakuna cha Aibu hata akifukuzwa atakuwa shujaa kwani Lisu ana watu wengi pia hawezi kosa pa kwenda au cha kufanya, chadema siyo mungu kuwa ni pa kukaa milele, Kumbuka huu ni uchaguzi ulitaka Lisu asiongee udhaifu na mapungufu ya mbowe kisa eti atafukuzwa? Mfukuzeni muone chadema itakuwa kama TLP NCCR na CUF lipumba
Ni neno la kipumbavu. Ungenyamaza linge kusaidia zaidi mwenyewe.Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Kaka nashukuru sana kwa kumuunga mkono mjomba wangu, kazi iliyobaki ni kutetea kikoba chetu kirudi uchagani. Pia malizia ada ya uanachama ili tukalipie deni la mbege iliyotumika jana.
Kama wewe sio mchagga Pole sanaaa. Wachaga tumewazidi mbali sanaaa kwa akili na kikoba chetu hamtakaa kukiongoza. Anzisheni cha kwenu nyumbu nyie.Kama ni kikoba cha Wachaga kwanini nyie viberenge msio Wachaga mnateseka? Chuki za kuwachukia Wachaga hazitawasaidia chochote
Mbowe anaendesha chama kienyeji idara ya pesa yupo mwenyewe katibu mkuu wala kiongozi yeyote hasogei kitengo cha pesa za chama, hata kuwe na ufisadi viongozi wengine hawatahusika, hakuna mtu mwenye Akili Timamu atamwelewa mleta mada na ana Bahati kala pesa za mbowe mapema, na asingekuwa kala mbowe asingemlipa baada ya kusoma majibu yetu humuUmemwelewa alichokiandika au umekurupuka? Yeye ameanika madudu ya waliyowahi kuyafanya viongozi wa CHADEMA na Lissu akiwepo na akayafumbia macho. Inakuwaje unamshutumu tena?
Chadema yenu tanganezi ni ya kifalume acheni kuitisha uchaguzi maana hamtaki kukosolewa mapungufu yenuKama ni kikoba cha Wachaga kwanini nyie viberenge msio Wachaga mnateseka? Chuki za kuwachukia Wachaga hazitawasaidia chochote
Wapi alishabikia weka ushahidi hapa tuoneKwa wasiokumbuka, Lissu alishabikia vitendo vya udhalilishaji alivyofanyiwa mkuu wa wilaya wa kike na wahuni wa CHADEMA. wakati huohuo alisimamia waziri mmoja wa leo (hakuwa waziri wakati ule) kutekwa Nyara na wahuni wa CHADEMA.
Kwahiyo wale Covid -19 unakubalo wanakula pesa za wananchi wakati wako bungeni na hawana chama?Lissu amesimamia maamuzi yote ya kuwafukuza na kuwaaibisha waliojaribu kugombea uenyekiti huko nyuma akiwa mwanasheria mkuu wa Chama akifikia kuwatuhumu kwa uhaini dhidi ya chama.
Taja mafisadi 3 ambao Lissu aliwatetea wasifikishwe mahakamani.Ni yeye aliyetetea mafisadi wakubwa walipoanza kufikishwa mahakamani wakati ule na akageuka mtetezi wa mafisadi.
Mtaje huyo kada , kama umeamua kuja na hizi hoja unaficha nini?Lissu alihusika kuficha taarifa za wanachama kukituhumu chama kuhusika na ajali ya kada aliyekuwa amejipenyeza Chadema kikachero lakini wakamgundua na kumuwahi.
Katili kuliko yule aliyetoa order amimiwe risasi hadi kufa na akaondoa ulinzi na CCTV maeneo yale?Naam, Lissu amekuwa katili na asiye na Roho ya utu hata kidogo. Alishangilia kifo cha Mwenyekiti wa CCM kilipotokea.
Alishapitia kitu kikubwa yule alishakiona kifo na akarudi kuishi unazifahamu risasi 16 mwilini?Binafsi sina maslahi na nani anaweza kuwa mwenyekiti. Mimi natamani Lissu naye sasa apitie kile ambacho yeye mwenyewe aliwapitisha wenziye. Afukuzwe uanachama wa Chadema haraka na bila huruma.
Umetoa story tu bila kwenda wazi , Lissu amelipua vingi na kuwataja watu wewe unaleta hekayaNimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Kesho nenda ofisini umfukuze.Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA.
Wewe na Lissu nani anajulikana ukitajwa katika kundi la watu 10 pengine hakuna anayekujua.Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana.
Utaje huo upuuzi ili ujitoe na wewe kwenye huo upuuzi.Amedanganya kila kitu. Wakati anajua kila kilichotokea CHADEMA ikiwa ni pamoja na mambo ya kihalifu, Lissu hawezi kujitenga na upuuzi wa CHADEMA.
Kwa wasiokumbuka, Lissu alishabikia vitendo vya udhalilishaji alivyofanyiwa mkuu wa wilaya wa kike na wahuni wa CHADEMA. wakati huohuo alisimamia waziri mmoja wa leo (hakuwa waziri wakati ule) kutekwa Nyara na wahuni wa CHADEMA.
Lissu amesimamia maamuzi yote ya kuwafukuza na kuwaaibisha waliojaribu kugombea uenyekiti huko nyuma akiwa mwanasheria mkuu wa Chama akifikia kuwatuhumu kwa uhaini dhidi ya chama.
Ni yeye aliyetetea mafisadi wakubwa walipoanza kufikishwa mahakamani wakati ule na akageuka mtetezi wa mafisadi.
Lissu alihusika kuficha taarifa za wanachama kukituhumu chama kuhusika na ajali ya kada aliyekuwa amejipenyeza Chadema kikachero lakini wakamgundua na kumuwahi.
Naam, Lissu amekuwa katili na asiye na Roho ya utu hata kidogo. Alishangilia kifo cha Mwenyekiti wa CCM kilipotokea.
Binafsi sina maslahi na nani anaweza kuwa mwenyekiti. Mimi natamani Lissu naye sasa apitie kile ambacho yeye mwenyewe aliwapitisha wenziye. Afukuzwe uanachama wa Chadema haraka na bila huruma.
Wewe ni mjingaKaka nashukuru sana kwa kumuunga mkono mjomba wangu, kazi iliyobaki ni kutetea kikoba chetu kirudi uchagani. Pia malizia ada ya uanachama ili tukalipie deni la mbege iliyotumika jana.
Mbowe siyo kufukuzwa tu apelekwe mahakamani kwa kufuja pesa za chamaHata mboe afukuzwe pia
Wewe demu upo kama sigara ya bangi unaweza kuiwasha pande yoyote mara upo CDM au CCM kuwa makini utagongwa tako na wahuniMlimshindwa Shibuda mtamuweza Lisu?