Pre GE2025 Tundu Lissu afukuzwe CHADEMA haraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lisu nje ya chadema ataishi vizuri kwani ni mwanataaluma lakini mbowe inje ya chadema atazeeka kwa mawazo njaa kwani pesa yote atamaliza kwenye kampeni akikosa uenyekiti atachanganyikiwa

Hiyo minyoo iwahi kabla hujawehuka kabisa.
 
Usiwe na shaka. Kwa taarifa nilizonazo Lissu LAZIMA afukuzwe Chadema au aondoke kwa aibu!
Kufukuzwa ndiyo nini? Kuondoka kwa aibu ndiyo nini? Chadema ni bank? Chadema ni uhai ni pumzi? Hakuna cha Aibu hata akifukuzwa atakuwa shujaa kwani Lisu ana watu wengi pia hawezi kosa pa kwenda au cha kufanya, chadema siyo mungu kuwa ni pa kukaa milele, Kumbuka huu ni uchaguzi ulitaka Lisu asiongee udhaifu na mapungufu ya mbowe kisa eti atafukuzwa? Mfukuzeni muone chadema itakuwa kama TLP NCCR na CUF lipumba
 
Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.

Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA.

Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana. Amedanganya kila kitu. Wakati anajua kila kilichotokea CHADEMA ikiwa ni pamoja na mambo ya kihalifu, Lissu hawezi kujitenga na upuuzi wa CHADEMA.

Kwa wasiokumbuka, Lissu alishabikia vitendo vya udhalilishaji alivyofanyiwa mkuu wa wilaya wa kike na wahuni wa CHADEMA. wakati huohuo alisimamia waziri mmoja wa leo (hakuwa waziri wakati ule) kutekwa Nyara na wahuni wa CHADEMA.

Lissu amesimamia maamuzi yote ya kuwafukuza na kuwaaibisha waliojaribu kugombea uenyekiti huko nyuma akiwa mwanasheria mkuu wa Chama akifikia kuwatuhumu kwa uhaini dhidi ya chama.

Ni yeye aliyetetea mafisadi wakubwa walipoanza kufikishwa mahakamani wakati ule na akageuka mtetezi wa mafisadi.

Lissu alihusika kuficha taarifa za wanachama kukituhumu chama kuhusika na ajali ya kada aliyekuwa amejipenyeza Chadema kikachero lakini wakamgundua na kumuwahi.

Naam, Lissu amekuwa katili na asiye na Roho ya utu hata kidogo. Alishangilia kifo cha Mwenyekiti wa CCM kilipotokea.

Binafsi sina maslahi na nani anaweza kuwa mwenyekiti. Mimi natamani Lissu naye sasa apitie kile ambacho yeye mwenyewe aliwapitisha wenziye. Afukuzwe uanachama wa Chadema haraka na bila huruma.
Dogo mapesa ya Abdul na Mbowe yamekuchanganya, sivyo?
 
Kwaiyo jana alivowaita mkale X mass kwake,

Ndio mmeanza kazi rasmi leo? Sasa mbn kazi mmepewa vilaza

Umemwelewa alichokiandika au umekurupuka? Yeye ameanika madudu ya waliyowahi kuyafanya viongozi wa CHADEMA na Lissu akiwepo na akayafumbia macho. Inakuwaje unamshutumu tena?
 
Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.

Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA.

Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana. Amedanganya kila kitu. Wakati anajua kila kilichotokea CHADEMA ikiwa ni pamoja na mambo ya kihalifu, Lissu hawezi kujitenga na upuuzi wa CHADEMA.

Kwa wasiokumbuka, Lissu alishabikia vitendo vya udhalilishaji alivyofanyiwa mkuu wa wilaya wa kike na wahuni wa CHADEMA. wakati huohuo alisimamia waziri mmoja wa leo (hakuwa waziri wakati ule) kutekwa Nyara na wahuni wa CHADEMA.

Lissu amesimamia maamuzi yote ya kuwafukuza na kuwaaibisha waliojaribu kugombea uenyekiti huko nyuma akiwa mwanasheria mkuu wa Chama akifikia kuwatuhumu kwa uhaini dhidi ya chama.

Ni yeye aliyetetea mafisadi wakubwa walipoanza kufikishwa mahakamani wakati ule na akageuka mtetezi wa mafisadi.

Lissu alihusika kuficha taarifa za wanachama kukituhumu chama kuhusika na ajali ya kada aliyekuwa amejipenyeza Chadema kikachero lakini wakamgundua na kumuwahi.

Naam, Lissu amekuwa katili na asiye na Roho ya utu hata kidogo. Alishangilia kifo cha Mwenyekiti wa CCM kilipotokea.

Binafsi sina maslahi na nani anaweza kuwa mwenyekiti. Mimi natamani Lissu naye sasa apitie kile ambacho yeye mwenyewe aliwapitisha wenziye. Afukuzwe uanachama wa Chadema haraka na bila huruma.

Mawazo mfirisi sana haya
 
Kufukuzwa ndiyo nini? Kuondoka kwa aibu ndiyo nini? Chadema ni bank? Chadema ni uhai ni pumzi? Hakuna cha Aibu hata akifukuzwa atakuwa shujaa kwani Lisu ana watu wengi pia hawezi kosa pa kwenda au cha kufanya, chadema siyo mungu kuwa ni pa kukaa milele, Kumbuka huu ni uchaguzi ulitaka Lisu asiongee udhaifu na mapungufu ya mbowe kisa eti atafukuzwa? Mfukuzeni muone chadema itakuwa kama TLP NCCR na CUF lipumba
Ahahahahaha! Eti Lissu ana watu wengi, KUMBAVU! Alivyopigwa risasi walifanya nini hao watu wengi? Siku ile baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 alipokuwa anakimbia airport ili aende Ubeleji mbona alikuwa peke yake na Maafisa wa Ubalozi wa EU tu? Hao watu wengi alionao walikuwa wapi? KUMBAVU!!!
 
Kaka nashukuru sana kwa kumuunga mkono mjomba wangu, kazi iliyobaki ni kutetea kikoba chetu kirudi uchagani. Pia malizia ada ya uanachama ili tukalipie deni la mbege iliyotumika jana.

Kama ni kikoba cha Wachaga kwanini nyie viberenge msio Wachaga mnateseka? Chuki za kuwachukia Wachaga hazitawasaidia chochote
 
Kama wewe sio mchagga Pole sanaaa. Wachaga tumewazidi mbali sanaaa kwa akili na kikoba chetu hamtakaa kukiongoza. Anzisheni cha kwenu nyumbu nyie.
 
Umemwelewa alichokiandika au umekurupuka? Yeye ameanika madudu ya waliyowahi kuyafanya viongozi wa CHADEMA na Lissu akiwepo na akayafumbia macho. Inakuwaje unamshutumu tena?
Mbowe anaendesha chama kienyeji idara ya pesa yupo mwenyewe katibu mkuu wala kiongozi yeyote hasogei kitengo cha pesa za chama, hata kuwe na ufisadi viongozi wengine hawatahusika, hakuna mtu mwenye Akili Timamu atamwelewa mleta mada na ana Bahati kala pesa za mbowe mapema, na asingekuwa kala mbowe asingemlipa baada ya kusoma majibu yetu humu
 
Kama ni kikoba cha Wachaga kwanini nyie viberenge msio Wachaga mnateseka? Chuki za kuwachukia Wachaga hazitawasaidia chochote
Chadema yenu tanganezi ni ya kifalume acheni kuitisha uchaguzi maana hamtaki kukosolewa mapungufu yenu
 
Kwa wasiokumbuka, Lissu alishabikia vitendo vya udhalilishaji alivyofanyiwa mkuu wa wilaya wa kike na wahuni wa CHADEMA. wakati huohuo alisimamia waziri mmoja wa leo (hakuwa waziri wakati ule) kutekwa Nyara na wahuni wa CHADEMA.
Wapi alishabikia weka ushahidi hapa tuone

Huyo waziri mtaje pia , Lissu alishataja waliomleta Abdul kwake kwanini nyie hamuwataji hawa watu sasa
Lissu amesimamia maamuzi yote ya kuwafukuza na kuwaaibisha waliojaribu kugombea uenyekiti huko nyuma akiwa mwanasheria mkuu wa Chama akifikia kuwatuhumu kwa uhaini dhidi ya chama.
Kwahiyo wale Covid -19 unakubalo wanakula pesa za wananchi wakati wako bungeni na hawana chama?
Ni yeye aliyetetea mafisadi wakubwa walipoanza kufikishwa mahakamani wakati ule na akageuka mtetezi wa mafisadi.
Taja mafisadi 3 ambao Lissu aliwatetea wasifikishwe mahakamani.
Lissu alihusika kuficha taarifa za wanachama kukituhumu chama kuhusika na ajali ya kada aliyekuwa amejipenyeza Chadema kikachero lakini wakamgundua na kumuwahi.
Mtaje huyo kada , kama umeamua kuja na hizi hoja unaficha nini?
Naam, Lissu amekuwa katili na asiye na Roho ya utu hata kidogo. Alishangilia kifo cha Mwenyekiti wa CCM kilipotokea.
Katili kuliko yule aliyetoa order amimiwe risasi hadi kufa na akaondoa ulinzi na CCTV maeneo yale?
Binafsi sina maslahi na nani anaweza kuwa mwenyekiti. Mimi natamani Lissu naye sasa apitie kile ambacho yeye mwenyewe aliwapitisha wenziye. Afukuzwe uanachama wa Chadema haraka na bila huruma.
Alishapitia kitu kikubwa yule alishakiona kifo na akarudi kuishi unazifahamu risasi 16 mwilini?

Wewe usikute maumivu makali kuwahi kuyapata ni kujikata na kisu ukiwa unaanda mboga jikoni.
Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Umetoa story tu bila kwenda wazi , Lissu amelipua vingi na kuwataja watu wewe unaleta hekaya
Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA.
Kesho nenda ofisini umfukuze.
Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana.
Wewe na Lissu nani anajulikana ukitajwa katika kundi la watu 10 pengine hakuna anayekujua.

Rekodi ya Lissu kwenye integrity inajieleza .
Amedanganya kila kitu. Wakati anajua kila kilichotokea CHADEMA ikiwa ni pamoja na mambo ya kihalifu, Lissu hawezi kujitenga na upuuzi wa CHADEMA.
Utaje huo upuuzi ili ujitoe na wewe kwenye huo upuuzi.
Kwa wasiokumbuka, Lissu alishabikia vitendo vya udhalilishaji alivyofanyiwa mkuu wa wilaya wa kike na wahuni wa CHADEMA. wakati huohuo alisimamia waziri mmoja wa leo (hakuwa waziri wakati ule) kutekwa Nyara na wahuni wa CHADEMA.

Lissu amesimamia maamuzi yote ya kuwafukuza na kuwaaibisha waliojaribu kugombea uenyekiti huko nyuma akiwa mwanasheria mkuu wa Chama akifikia kuwatuhumu kwa uhaini dhidi ya chama.

Ni yeye aliyetetea mafisadi wakubwa walipoanza kufikishwa mahakamani wakati ule na akageuka mtetezi wa mafisadi.

Lissu alihusika kuficha taarifa za wanachama kukituhumu chama kuhusika na ajali ya kada aliyekuwa amejipenyeza Chadema kikachero lakini wakamgundua na kumuwahi.

Naam, Lissu amekuwa katili na asiye na Roho ya utu hata kidogo. Alishangilia kifo cha Mwenyekiti wa CCM kilipotokea.

Binafsi sina maslahi na nani anaweza kuwa mwenyekiti. Mimi natamani Lissu naye sasa apitie kile ambacho yeye mwenyewe aliwapitisha wenziye. Afukuzwe uanachama wa Chadema haraka na bila huruma.
 
Kaka nashukuru sana kwa kumuunga mkono mjomba wangu, kazi iliyobaki ni kutetea kikoba chetu kirudi uchagani. Pia malizia ada ya uanachama ili tukalipie deni la mbege iliyotumika jana.
Wewe ni mjinga
 
Back
Top Bottom