iboyamwaka2020
JF-Expert Member
- Jan 14, 2020
- 725
- 844
MFAN
O WA NCHI ULIOTOA URUSI YULE MPNZANI KAPEWA SUMU JE MBONA HAWAKUMKAMATA WAMSHITAKI KESI ISIKILIZWE?Lissu katuhumu upande mmoja kuwa ulitamka kuwa msaliti yeyote hastahili kuishi.
Je msaliti akigunduliwa hastahili kwanza kukamatwa ?
Kupelekwa mahakamani?
Uchunguzi kufanyika?
Kupewa nafasi ya kujitetea?
Na akipatikana na hatia kupewa adhabu?
Na je adhabu ya msaliti ikoje kisheria,Ni kifungo,kifungo na faini ama kunyongwa mpaka afe?
Au Ni kutumia magenge ya wahalifu Kama Hawa wasiojulikana ya kuua na kukimbia?
Je kushambulia kwa mtindo alioshambuliwa Lissu sio uvunjaji wa sheria?
Walishindwaje kumkamata na kumshitaki mahakamani?
Marekani na Urusi ni mahasimu wakubwa mno,lakini nchi mojawapo ikikamata msaliti au hata jasusi wa nchi hasimu huwapeleka mahakamani na kufungwa.
Kama ilijulikana fulani Ni msaliti msaliti adhabu yake Ni kufa bila kuhojiwa,kushitajiwa na kuhukuniwa kwa njia za kisheria.?
Wataalamu imekaaje hii.?