11 September 2020
Morogoro,Tanzania
Hotuba ktk Mkutano wa kampeni ya mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu mjini Morogoro 11/9/2020
25 Agosti 2020
VUTA NIKUVUTE WAGOMBEA UBUNGE MOROGORO MJINI NA MSIMAMIZI
Video : Mabaunsa wa Morogoro hapo tarehe 25 Agosti 2020 wakimzuia Devotha Minja mgombea ubunge Morogoro mjini kupitia CHADEMA kurudisha fomu ktk ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Morogoro mjini
.............................................................................
Tundu Lissu alivyopokewa akiingia mkoani Morogoro tarehe 11 September 2020
Morogoro,Tanzania
Hotuba ktk Mkutano wa kampeni ya mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu mjini Morogoro 11/9/2020
- Mgombea ubunge wa CHADEMA mjini Morogoro ampatia taarifa ya hali ya viwanda Morogoro mgombea wa Urais Tundu Lissu
- Ujumbe wa watu wa Morogoro kwa NEC Tume ya Uchaguzi kuhusu pingamizi dhidi ya mgombea wa ubunge kupitia CHADEMA jimbo la Morogoro mjini rufaa yake isikilizwe mapema.
- Nchi ya dhuluma , haki kiasi mgombea anazuiwa na mabaunsa kuingia ktk ofisi za mkurugenzi
- Kata 29 za mjini Morogoro madiwani wa upinzani wamepata wakati mgumu kurudisha fomu. Kata 109 ktk Mkoa wa Morogoro wagombea wa udiwani wamezuiwa kwa kila namna kuwakilisha fomu zao ofisi husika
- Katiba na sheria ndogo ndogo mfano za Halmashauri na manispaa zinavyowaumiza wananchi
- Miaka 5 ya kuwatia umasikini waTanzania
- Katazo haramu kwa vyama kufanya shughuli za kisiasa kwa miaka 5
- Uchumi wa Kati uliopo ktk takwimu bila uhalisia wenye mguso ktk maisha ya kila siku ya mtanzania
- Suala la Maendeleo ya Vitu kama treni, ndege n.k