Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

11 September 2020
Morogoro,Tanzania

Hotuba ktk Mkutano wa kampeni ya mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu mjini Morogoro 11/9/2020

  • Mgombea ubunge wa CHADEMA mjini Morogoro ampatia taarifa ya hali ya viwanda Morogoro mgombea wa Urais Tundu Lissu
  • Ujumbe wa watu wa Morogoro kwa NEC Tume ya Uchaguzi kuhusu pingamizi dhidi ya mgombea wa ubunge kupitia CHADEMA jimbo la Morogoro mjini rufaa yake isikilizwe mapema.
  • Nchi ya dhuluma , haki kiasi mgombea anazuiwa na mabaunsa kuingia ktk ofisi za mkurugenzi
  • Kata 29 za mjini Morogoro madiwani wa upinzani wamepata wakati mgumu kurudisha fomu. Kata 109 ktk Mkoa wa Morogoro wagombea wa udiwani wamezuiwa kwa kila namna kuwakilisha fomu zao ofisi husika
  • Katiba na sheria ndogo ndogo mfano za Halmashauri na manispaa zinavyowaumiza wananchi
  • Miaka 5 ya kuwatia umasikini waTanzania
  • Katazo haramu kwa vyama kufanya shughuli za kisiasa kwa miaka 5
  • Uchumi wa Kati uliopo ktk takwimu bila uhalisia wenye mguso ktk maisha ya kila siku ya mtanzania
  • Suala la Maendeleo ya Vitu kama treni, ndege n.k

25 Agosti 2020
VUTA NIKUVUTE WAGOMBEA UBUNGE MOROGORO MJINI NA MSIMAMIZI
Video : Mabaunsa wa Morogoro hapo tarehe 25 Agosti 2020 wakimzuia Devotha Minja mgombea ubunge Morogoro mjini kupitia CHADEMA kurudisha fomu ktk ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Morogoro mjini

.............................................................................
Tundu Lissu alivyopokewa akiingia mkoani Morogoro tarehe 11 September 2020

 
Tofauti kubwa kati ya kampeni za uchaguzi za Tundu Lissu na zile za yule wa CCM ni kwamba, kwa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu wapigakura hutaka kuzisikia sera mbadala, wakati kwa yule huenda kwa matarajio ya kuwaona wasanii maarufu wa Bongo fleva.

Hii ndiyo maana mikutano ya Rais Mtarajiwa hujaa watu wazima ambao wanajitokeza kwa hiari yao wenyewe. Wakati kwa bwana yule ni mwendo wa kubeba mamburura kwa malori na wanafunzi walolazimishwa na walimu wao ambao pia wamelazimishwa kuwalazimisha kufanya hivyo.
 
Nchi
Tundu Lissu apewe tu nchi yake......

👍👍Uhuru haki na maendeleo ya watu👍👍
Kumbe akishinda nchi itakuwa yake eeh 🤔?
Basi nikukumbushe tu kuwa ,Nchi itabaki kuwa ya Magu mpaka muda wake wa kikatiba wa kuitawala utakapofikia ukomo.
 
hapo hamna mondi wala kiba.

bila wasanii wala malori ya kusomba wajinga waliovaa minguo ya kijani na njano.. jiwe hawez fikisha hata watu mia kwenye mkutano...
Watanzania wanakwambia Ubwabwa kwa Hashim Rungwe, Fiesta kwa Magufuli Ila Sera Nzuri na Kura kwa Tundu Antiphas Lissu!
 
hapo hamna mondi wala kiba.

bila wasanii wala malori ya kusomba wajinga waliovaa minguo ya kijani na njano.. jiwe hawez fikisha hata watu mia kwenye mkutano...
Lissu ni mpango wa kweli wa Mungu!
 
Back
Top Bottom