Acha uongo bhana,policcm ndio itakayo wapiga wananchi sio uvccm.Aambiwe kabla hajaifikia Tume iliyo kwa Mujibu wa Sheria! Na inalitumikia Taifa. Sisi Wananchi tusiokubaliana na ujinga huu. Tutamalizana nae yeyy na genge lake
Wafuasi tu ni mbimbimbu Kama waoHivi Mnamjua Mungu?
Anayechukizwa na uongo na fitna, ndio huyo huyo mnaemuita aje kuwatetea mnapoumbuliwa!
Mungu hawahudumii WACHAWI na WAFITINI
Amini nakuambia!
We unataka yaende wapi kwa mfano.Itoshe kusoma wewe ni zwazwa mkuu, yaani kwa Hali hii ya 'kisiasa' malalamiko yapelekwa kwa akina Hashim rungwe na profesa chawa?
Ndo kamati ya maadili hiyo? Kanywe maji ukalale!
wenzake wanatangaza sera zao yeye kutwa analalamika kwenye kampeni akishindwa ataibebesha lawama Tume wakati hana hoja za kuwashawishi wapiga kura wamchague.Point yako nini labda?[emoji23][emoji23]
Ebu punguza kunifokea bhasi.
Ngoja nikupe SHULE kama Lissu anavyowapa DARASA.
IPO HIVI....!
Wanafunzi wanaohudhuria mikutano ya CCM ni kwasababu wanapewa maagizo na vitisho, wanakuja kwa kutokupenda. SAWA?
ALAFU
Wanaokuja mikutano ya upinzani hawapewi MAAGIZO wanakuja kwa RIDHAA YAO. UMENIPATA?
Unajua Hawa awajui hyo time wanayoipigia kelele ipo kisheria ,pia wanadhani time inadeal na pumba zinazowekwa kwenye mitandao ya kihamii.Tume yaenda na utaratibu na aingiliwi na matakwa ya kibwege kutoka ktk kundi la mtu yeyoteNdiyo Imani unayojipa?!
Haya umetumika kuwalazimisha wanafunzi wangapi?
Na wakiohiyari kwenda unawajua?
Siasa zenu kila kona ni uongo uongo tu!
Tume iliyompitisha huyo Mgombea wenu haijawahi kuwa na Fitna wala majungu na huyo ndugu yenu. Mwambie aache kujipendekeza tupige kampeni tukutane Jumatano ya 28 OKTOBA. Tupimane kwa sera bora
Tulieni vzr dawa itawaingia tu *****.Kumbe ata mihula ya shule kwa mwa 2029 huijui kazi yako ni kuwa bendera tu.muwe mnapitapita mnajua yanayoendelea duniani sio kukropoka tu
Dawa ipo kwenu na bado mmekwisha Anza kuanguka majukwaani wakati ndio Kwanza kumekuchaTulieni vzr dawa itawaingia tu *****.
Weweeee duh hivi CCM kweli ya kukosa magari. Lakini hata akitumia za Serikali yeye bado ni Rais kwa Mujibu wa Katiba hadi pale Rais mpya atakapo apa. Hivyo anahaki ya kutumia Kila kitu. Mwisho mtasema kwanini analala au kufanya kazi Ikulu. Hahaaaa.Umeshawasiliana na Tume kama hakuna malalamiko. Mwaka huu jua la utosi sijui kama mnaliona. Jamaa anatumia gari za serikali kawa kinyonga kuzibadilisha rangi tu.
å Ni majibu ya kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dr. Wilson Mahera Charles aliyoitoa jana alipokuwa anazungumza na vyombo vya habari.
å Kwamba, baadhi ya wagombea katika mikutano yao ya kampeni wanakiuka kanuni na maadili ya uchaguzi mkuu wa 2020.
å Na kwamba, tume inaweza kuwachukulia hatua za kinidhamu ikiwemo kuwazuia kuendelea na kampeni zao.
å Tundu Lissu akiwa Mbozi leo tarehe 16/9/2020 akichanja mbuga kuendelea na mikutano yake ya kampeni, kabla ya kuwahutubia wananchi alitumia dakika 12 kuijibu NEC juu ya kauli yake hii kupitia kwa mtendaji wake mkuu, Mkurugenzi wa Uchaguzi Dr Wilson Mahera Charles.
å Katika kujibu, Tundu Lissu akaikaripia vikali NEC kuwa ndiyo mkiukaji mkubwa wa KANUNI na MAADILI hayo ya Uchaguzi mkuu 2020.
å Akataja makosa matano (5) ya ukiukaji KANUNI na MAADILI yanayofanywa na mgombea Urais wa CCM, ndg John Pombe Magufuli huku NEC wakiwa kimyaaa.
Tazama video hii
Anakamua nini labda?Anayejichanganya Lissu anakamua bila kupepesa macho hehehheh
Anamkamua jiwe na NEC yake. Ungependa kuunganishwa kwenye makamuzi??Anakamua nini labda?
Tundu Lissu amalize tu uchaguzi aende mahakamani akajibu kesi zake, msela ni mfungwa mtarajiwa. Nimesema mfungwa naomba mninukuu vizuri, sio Rais.
Hahahahha spana spana nimewaza tu jamaa anavyotumia akili zake kulenga matundu ya uchafu.Wewe kwani hujui kuwa uchaguzi huu wa 2020 ni mpambano kati ya MAGUFULI/CCM, NEC, POLISI, TISS vs TUNDU LISSU/CHADEMA?
Unadhani Dr Mahera alimlenga nani? Prof Lipumba? Hashimu Rungwe? Membe?
Tumia akili yako vyema kufikiria..
Kamwambie mzee wako hakubaliki na watanzania hawamtaki. Mwaka huu CCM mtashangazwa na watanzania wajinga mliozoea kuwaibia kura zao na kujitangaza kwasababu Tume inateuliwa na mgombea wenu. Sasa basi!Lofa ni Lofa tu!
Walau mngekuwa na hoja zenye kueleweka!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]