Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

Mwambieni mgombea wenu afuata utaratibu
IMG-20200901-WA0038.jpeg
 
Point yako nini labda?[emoji23][emoji23]

Ebu punguza kunifokea bhasi.

Ngoja nikupe SHULE kama Lissu anavyowapa DARASA.

IPO HIVI....!

Wanafunzi wanaohudhuria mikutano ya CCM ni kwasababu wanapewa maagizo na vitisho, wanakuja kwa kutokupenda. SAWA?

ALAFU

Wanaokuja mikutano ya upinzani hawapewi MAAGIZO wanakuja kwa RIDHAA YAO. UMENIPATA?
wenzake wanatangaza sera zao yeye kutwa analalamika kwenye kampeni akishindwa ataibebesha lawama Tume wakati hana hoja za kuwashawishi wapiga kura wamchague.

Kama vp na yeye atafute wanafunzi wake awapeleke kwenye mikutano yake, lakni ajue hata hao wanafunzi wanasikiliza Sera sio matusi na kuikejeli Tume
 
Ndiyo Imani unayojipa?!
Haya umetumika kuwalazimisha wanafunzi wangapi?
Na wakiohiyari kwenda unawajua?
Siasa zenu kila kona ni uongo uongo tu!
Tume iliyompitisha huyo Mgombea wenu haijawahi kuwa na Fitna wala majungu na huyo ndugu yenu. Mwambie aache kujipendekeza tupige kampeni tukutane Jumatano ya 28 OKTOBA. Tupimane kwa sera bora
Unajua Hawa awajui hyo time wanayoipigia kelele ipo kisheria ,pia wanadhani time inadeal na pumba zinazowekwa kwenye mitandao ya kihamii.Tume yaenda na utaratibu na aingiliwi na matakwa ya kibwege kutoka ktk kundi la mtu yeyote
 
Mkibanwa mnaenda kutafuta booster dubei na ubelgiji. Fuse mbovu kabisa!
 
Umeshawasiliana na Tume kama hakuna malalamiko. Mwaka huu jua la utosi sijui kama mnaliona. Jamaa anatumia gari za serikali kawa kinyonga kuzibadilisha rangi tu.
Weweeee duh hivi CCM kweli ya kukosa magari. Lakini hata akitumia za Serikali yeye bado ni Rais kwa Mujibu wa Katiba hadi pale Rais mpya atakapo apa. Hivyo anahaki ya kutumia Kila kitu. Mwisho mtasema kwanini analala au kufanya kazi Ikulu. Hahaaaa.
 


å Ni majibu ya kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dr. Wilson Mahera Charles aliyoitoa jana alipokuwa anazungumza na vyombo vya habari.

å Kwamba, baadhi ya wagombea katika mikutano yao ya kampeni wanakiuka kanuni na maadili ya uchaguzi mkuu wa 2020.

å Na kwamba, tume inaweza kuwachukulia hatua za kinidhamu ikiwemo kuwazuia kuendelea na kampeni zao.

å Tundu Lissu akiwa Mbozi leo tarehe 16/9/2020 akichanja mbuga kuendelea na mikutano yake ya kampeni, kabla ya kuwahutubia wananchi alitumia dakika 12 kuijibu NEC juu ya kauli yake hii kupitia kwa mtendaji wake mkuu, Mkurugenzi wa Uchaguzi Dr Wilson Mahera Charles.

å Katika kujibu, Tundu Lissu akaikaripia vikali NEC kuwa ndiyo mkiukaji mkubwa wa KANUNI na MAADILI hayo ya Uchaguzi mkuu 2020.

å Akataja makosa matano (5) ya ukiukaji KANUNI na MAADILI yanayofanywa na mgombea Urais wa CCM, ndg John Pombe Magufuli huku NEC wakiwa kimyaaa.

Tazama video hii

 
Tundu Lissu amalize tu uchaguzi aende mahakamani akajibu kesi zake, msela ni mfungwa mtarajiwa. Nimesema mfungwa naomba mninukuu vizuri, sio Rais.
 
Kwa wenye UFINYU wa akili tu kama wewe.

Tundu Lissu amalize tu uchaguzi aende mahakamani akajibu kesi zake, msela ni mfungwa mtarajiwa. Nimesema mfungwa naomba mninukuu vizuri, sio Rais.
 
Bila kuruka ruka hapo Wananchi hawatoi michango dadeeeek... Watu hadi wapate show![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe kwani hujui kuwa uchaguzi huu wa 2020 ni mpambano kati ya MAGUFULI/CCM, NEC, POLISI, TISS vs TUNDU LISSU/CHADEMA?

Unadhani Dr Mahera alimlenga nani? Prof Lipumba? Hashimu Rungwe? Membe?

Tumia akili yako vyema kufikiria..
Hahahahha spana spana nimewaza tu jamaa anavyotumia akili zake kulenga matundu ya uchafu.
 
Lofa ni Lofa tu!
Walau mngekuwa na hoja zenye kueleweka!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Kamwambie mzee wako hakubaliki na watanzania hawamtaki. Mwaka huu CCM mtashangazwa na watanzania wajinga mliozoea kuwaibia kura zao na kujitangaza kwasababu Tume inateuliwa na mgombea wenu. Sasa basi!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom