Singo Batan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 295
- 198
Sawa Nitamwambia.Kamwambie mzee wako hakubaliki na watanzania hawamtaki. Mwaka huu CCM mtashangazwa na watanzania wajinga mliozoea kuwaibia kura zao na kujitangaza kwasababu Tume inateuliwa na mgombea wenu. Sasa basi!
Ni UHUNI TUME IMEFANYA.wenzake wanatangaza sera zao yeye kutwa analalamika kwenye kampeni akishindwa ataibebesha lawama Tume wakati hana hoja za kuwashawishi wapiga kura wamchague.
Kama vp na yeye atafute wanafunzi wake awapeleke kwenye mikutano yake, lakni ajue hata hao wanafunzi wanasikiliza Sera sio matusi na kuikejeli Tume
Shida yenu CCM mnaamini Mungu wenu kwa sasa ni Meko.Hivi Mnamjua Mungu?
Anayechukizwa na uongo na fitna, ndio huyo huyo mnaemuita aje kuwatetea mnapoumbuliwa!
Mungu hawahudumii WACHAWI na WAFITINI
Amini nakuambia!
Nakukumbusha tu Rufaa za Madiwani wa Vyama vyote tulizotangaziwa na NEC hazifiki 530, Wote walioonewa walikata Rufaa.Ni UHUNI TUME IMEFANYA.
KUENGULIWA MADIWANI 51 WA CHADEMA NI SAWA?
BADO MAELFU YA MADIWANI WACHADEMA WAMEENGULIWA
NA HAKUNA DIWANI WALA MBUNGE WA CCM AMEENGULIWA HATA YULE MWENYE CASE YA KUKWEPA KODI DEO MWANYIKA?
ULITAKA TUWABUSU NA KUWASIFU NEC KWA HAYA?
LISSU PIGA MISUMARI YA MOTO PANAPOUMA USUACHIE! PAMBAVU
Sio Lisu ila kwa vile na yeye ni mgombea na NEC hawajamtaja ni mgombea yupi, ndio maana Lisu ameamua kuwasaidia wananchi kujua ni nani anayeatalisha Amani, ka sio NEC na huyo mgombea uraisi wa CCM.Kwani Lissu yeye ndio anahatarisha aman
Mkurugenzi alisisitiza umhimu wa kutunza amani kipindi hiki cha uchaguzi kuwa ni jukumu la wagombea wote sasa kuhamasisha kuvunja amani haiwezi kuwa ajenda ya chama chochote cha siasa na wananchi makini tukabariki tuilinde amani kwa nguvu zote maana hatuna nchi nyingine zaidi ya hii na amani ikipotea wazee, watoto, akinamama ndo watakao umia zaidi hivyo tusikubali kuvuruga amani kwa maslahi ya kikundi cha watu wachache wenye nia ovu
Kwani ukitaka kudai Uhuru unasubiria hadi mtawala atende haki ndo uanze kudai,?kama tume sio huru kwa nini mnashiriki uchaguzi?
Unafki wa Tume ni pamoja na kumpitisha yeye kuwa Mgombea kwa kutumia Busara. Kama Candidate hajui kujaza Fomu za Urais kwa ufasaha na wapi azipitishe zikakaguliwe vipi hao wabunge wake?
Tunajua Tume ilimbeba kwenye hili, na tuwaite wanafki kwa kumbeba
Na wewe jipange ukipata ufanye ili uitwe jina lako.
Maana huna jipya zaidi ya Wivu wa kichawi
CCM kweli ni hamnazo, ko NEC walivyolalama kuna mgombea amewapelekea malalamiko ya maandishi au wamesikia kwa kufuatilia. Afu rudi kwenye hoja sasa hizo tuhuma alizozisema Lisu kwa kutokuchukua hatua kwa mgombea wa CCM anayetoa rushwa ya Ajira, na barabara akiwa kwenye kampeni sio za kweli?Huyu jamaa yenu anawalisha matango pori tu Tena ya kwasababu anapiga kelele tu mitandaoni badala ya kufuata utaratibu nimesoma kanuni za maadili ya Uchaguzi zinasema unatakiwa kutoa taarifa ya maandishi ktk sehemu husika ndani ya masaa 72 toka ukiukwaji wa maadili ulipofanyika.sasa kulalama tu Kama hayawani bila kutekereza hayo ni kazi bure.
Hapana,kawataja wanaohatarisha Amani na kukiuka kanuni za uchaguzi.Kwani Lissu yeye ndio anahatarisha aman
Kweli pong'ong'o ni pong'ong'o tu!Mboga umemwagika
Hii inathibitisha kwamba ninyi ndugu zetu hamjui kitu asee! Kama mpaka leo mnaaminishwa kwamba kila uchaguzi wagombea wenu ni wale wale hawabadiliki, wakati kila msimu wa uchaguzi zinaibuka sura mpya za ajabu ajabu tu!Kama ni mapingamizi hata Magufuli aliwekewa na tume wakapotezea. Hizo fomu za uchaguzi ndio zimeanza kujazwa awamu hii nchini?
Kibwengu hk hapaWataka ukawaone wapi Nyumbu wewe
NEC NI WAHUNI KAMA WEWE TU.Nakukumbusha tu Rufaa za Madiwani wa Vyama vyote tulizotangaziwa na NEC hazifiki 530, Wote walioonewa walikata Rufaa.
UNAKUJA NA USHUZI WAKO HAPA ETI MAELFU YA MADIWANI WAMEENGULIWA, MAELFU YA DUNIA IPI?
Tena Nakukumbuka, Kuenguliwa kwa wagombea (sio Madiwani kama unavyowaita) 51, hakujatokana na mapenzi ya watu chumbani. Ni matokeo ya vikao vya KISHERIA na Maamuzi ya KISHERIA!
Mjifunze kuelewa mambo kwanza kabla hamjaja na Utopolo wenu hapa ndegelec
Tatizo mna ruka ruka tu kima nyie. Onesha huyo uhuni umefanyikaje na kwa namna zipi?NEC NI WAHUNI KAMA WEWE TU.
CCM KAENGULIWA NANI HATA DEO MWANYIKA ALIYEPATIKANA ANA HATIA MAHAKAMANI?
HIZO SHERIA UNAZOSEMA WANAKAA VIKAO NEC NDIO HUU UTOPOLO?
NA LISSU KESHASEMA AKIINGIA IKULU HAKUNA CHA KUPITWA BILA KUPINGA TUNARUDIA UCHAGUZI WA HAO WAHUNI. PAMBAVU NYIE!
Unataka nini ewe nyumbu?Tatizo mna ruka ruka tu kima nyie. Onesha huyo uhuni umefanyikaje na kwa namna zipi?
Mbona humuoneshi?
Mtaendelea kupigwa kila SIKU kwa upumbavu huu
Nani akutake kenge jike wewe?Unataka nini ewe nyumbu?
Nimekuuliza nchi nzima umesikia kuna CCM KAENGULIWA?
BARA NA VISIWANI NI UPINZANI KWA MAELFU WAMEENGULIWA, KWANINI NA SIO CCM?