Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

Kamwambie mzee wako hakubaliki na watanzania hawamtaki. Mwaka huu CCM mtashangazwa na watanzania wajinga mliozoea kuwaibia kura zao na kujitangaza kwasababu Tume inateuliwa na mgombea wenu. Sasa basi!
Sawa Nitamwambia.
Lakini usisahau kumwambia baba yako kwamba, Uongozi wa Nchi hii haupatikani kwa ngonjera, na hekaya. Hadithi za kutunga na roporopo nyingi mara ulaya mara bongo vijiweni anakowakamata nyie hazina nafasi!
Aendelee kucheza reggae, agakapopata sers mbadala ya chuki, uzushi na uongo. Aje agombee.
Kwa sasa ajiandae kwenda kuosha vyombo huko alikokuwa siku za nyuma
 
wenzake wanatangaza sera zao yeye kutwa analalamika kwenye kampeni akishindwa ataibebesha lawama Tume wakati hana hoja za kuwashawishi wapiga kura wamchague.

Kama vp na yeye atafute wanafunzi wake awapeleke kwenye mikutano yake, lakni ajue hata hao wanafunzi wanasikiliza Sera sio matusi na kuikejeli Tume
Ni UHUNI TUME IMEFANYA.

KUENGULIWA MADIWANI 51 WA CHADEMA NI SAWA?

BADO MAELFU YA MADIWANI WACHADEMA WAMEENGULIWA

NA HAKUNA DIWANI WALA MBUNGE WA CCM AMEENGULIWA HATA YULE MWENYE CASE YA KUKWEPA KODI DEO MWANYIKA?

ULITAKA TUWABUSU NA KUWASIFU NEC KWA HAYA?

LISSU PIGA MISUMARI YA MOTO PANAPOUMA USUACHIE! PAMBAVU
 
Hivi Mnamjua Mungu?
Anayechukizwa na uongo na fitna, ndio huyo huyo mnaemuita aje kuwatetea mnapoumbuliwa!
Mungu hawahudumii WACHAWI na WAFITINI
Amini nakuambia!
Shida yenu CCM mnaamini Mungu wenu kwa sasa ni Meko.
 
Ni UHUNI TUME IMEFANYA.

KUENGULIWA MADIWANI 51 WA CHADEMA NI SAWA?

BADO MAELFU YA MADIWANI WACHADEMA WAMEENGULIWA

NA HAKUNA DIWANI WALA MBUNGE WA CCM AMEENGULIWA HATA YULE MWENYE CASE YA KUKWEPA KODI DEO MWANYIKA?

ULITAKA TUWABUSU NA KUWASIFU NEC KWA HAYA?

LISSU PIGA MISUMARI YA MOTO PANAPOUMA USUACHIE! PAMBAVU
Nakukumbusha tu Rufaa za Madiwani wa Vyama vyote tulizotangaziwa na NEC hazifiki 530, Wote walioonewa walikata Rufaa.
UNAKUJA NA USHUZI WAKO HAPA ETI MAELFU YA MADIWANI WAMEENGULIWA, MAELFU YA DUNIA IPI?

Tena Nakukumbuka, Kuenguliwa kwa wagombea (sio Madiwani kama unavyowaita) 51, hakujatokana na mapenzi ya watu chumbani. Ni matokeo ya vikao vya KISHERIA na Maamuzi ya KISHERIA!
Mjifunze kuelewa mambo kwanza kabla hamjaja na Utopolo wenu hapa ndegelec
 
Kwani Lissu yeye ndio anahatarisha aman
Sio Lisu ila kwa vile na yeye ni mgombea na NEC hawajamtaja ni mgombea yupi, ndio maana Lisu ameamua kuwasaidia wananchi kujua ni nani anayeatalisha Amani, ka sio NEC na huyo mgombea uraisi wa CCM.
Mgombea anatoa rushwa ya wazi kabisa lakini NEC wanaona wanatulia tu wala hawachukui hatua.
 
Mkurugenzi alisisitiza umhimu wa kutunza amani kipindi hiki cha uchaguzi kuwa ni jukumu la wagombea wote sasa kuhamasisha kuvunja amani haiwezi kuwa ajenda ya chama chochote cha siasa na wananchi makini tukabariki tuilinde amani kwa nguvu zote maana hatuna nchi nyingine zaidi ya hii na amani ikipotea wazee, watoto, akinamama ndo watakao umia zaidi hivyo tusikubali kuvuruga amani kwa maslahi ya kikundi cha watu wachache wenye nia ovu

BILA HAKI,

NI KUJIDANGANYA KUWA UTAKUWA NA AMANI.

TUNA WAJIBU WA KUITAFUTA HAKI ILI TUWE NA AMANI.
 
Unafki wa Tume ni pamoja na kumpitisha yeye kuwa Mgombea kwa kutumia Busara. Kama Candidate hajui kujaza Fomu za Urais kwa ufasaha na wapi azipitishe zikakaguliwe vipi hao wabunge wake?
Tunajua Tume ilimbeba kwenye hili, na tuwaite wanafki kwa kumbeba

Kama ni mapingamizi hata Magufuli aliwekewa na tume wakapotezea. Hizo fomu za uchaguzi ndio zimeanza kujazwa awamu hii nchini?
 
Huyu jamaa yenu anawalisha matango pori tu Tena ya kwasababu anapiga kelele tu mitandaoni badala ya kufuata utaratibu nimesoma kanuni za maadili ya Uchaguzi zinasema unatakiwa kutoa taarifa ya maandishi ktk sehemu husika ndani ya masaa 72 toka ukiukwaji wa maadili ulipofanyika.sasa kulalama tu Kama hayawani bila kutekereza hayo ni kazi bure.
CCM kweli ni hamnazo, ko NEC walivyolalama kuna mgombea amewapelekea malalamiko ya maandishi au wamesikia kwa kufuatilia. Afu rudi kwenye hoja sasa hizo tuhuma alizozisema Lisu kwa kutokuchukua hatua kwa mgombea wa CCM anayetoa rushwa ya Ajira, na barabara akiwa kwenye kampeni sio za kweli?
 
Kama ni mapingamizi hata Magufuli aliwekewa na tume wakapotezea. Hizo fomu za uchaguzi ndio zimeanza kujazwa awamu hii nchini?
Hii inathibitisha kwamba ninyi ndugu zetu hamjui kitu asee! Kama mpaka leo mnaaminishwa kwamba kila uchaguzi wagombea wenu ni wale wale hawabadiliki, wakati kila msimu wa uchaguzi zinaibuka sura mpya za ajabu ajabu tu!
 
Lissu wewe unawazaga nn? Sheria ziko waz kama una malalamiko ya ukiukwaji wa maadili ya kampeni kwann uswaslshe kwenye kamati ya maadili? Uliwaslisha malalamiko yepi yakaachwa kushughulkiwa na kamati? Unapiga siasa mtandaoni ili kupotosha umma usione umuhimu wa hizo kamati au lengo lako ni lipi? Fata sheria wewe ni Mgombea Urais.
 
Nakukumbusha tu Rufaa za Madiwani wa Vyama vyote tulizotangaziwa na NEC hazifiki 530, Wote walioonewa walikata Rufaa.
UNAKUJA NA USHUZI WAKO HAPA ETI MAELFU YA MADIWANI WAMEENGULIWA, MAELFU YA DUNIA IPI?

Tena Nakukumbuka, Kuenguliwa kwa wagombea (sio Madiwani kama unavyowaita) 51, hakujatokana na mapenzi ya watu chumbani. Ni matokeo ya vikao vya KISHERIA na Maamuzi ya KISHERIA!
Mjifunze kuelewa mambo kwanza kabla hamjaja na Utopolo wenu hapa ndegelec
NEC NI WAHUNI KAMA WEWE TU.

CCM KAENGULIWA NANI HATA DEO MWANYIKA ALIYEPATIKANA ANA HATIA MAHAKAMANI?

HIZO SHERIA UNAZOSEMA WANAKAA VIKAO NEC NDIO HUU UTOPOLO?

NA LISSU KESHASEMA AKIINGIA IKULU HAKUNA CHA KUPITWA BILA KUPINGA TUNARUDIA UCHAGUZI WA HAO WAHUNI. PAMBAVU NYIE!
 
Tatizo mna ruka ruka tu kima nyie. Onesha huyo uhuni umefanyikaje na kwa namna zipi?
Mbona humuoneshi?
Mtaendelea kupigwa kila SIKU kwa upumbavu huu
 
Tatizo mna ruka ruka tu kima nyie. Onesha huyo uhuni umefanyikaje na kwa namna zipi?
Mbona humuoneshi?
Mtaendelea kupigwa kila SIKU kwa upumbavu huu
Unataka nini ewe nyumbu?

Nimekuuliza nchi nzima umesikia kuna CCM KAENGULIWA?

BARA NA VISIWANI NI UPINZANI KWA MAELFU WAMEENGULIWA, KWANINI NA SIO CCM?
 
Unataka nini ewe nyumbu?

Nimekuuliza nchi nzima umesikia kuna CCM KAENGULIWA?

BARA NA VISIWANI NI UPINZANI KWA MAELFU WAMEENGULIWA, KWANINI NA SIO CCM?
Nani akutake kenge jike wewe?
Utaengua mtu mwenye sifa?
Kwanza, Nyie si mliwaambia wagombea wenu wakosee mekusudi ili muaminishe uma kwamba mmeonewa?
Sasa Mnalalamika nini??

Halafu wakati wengine wanafundisha wagombea wao namna sahihi ya kujaza fomu nyie mlikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom