Singo Batan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 295
- 198
Sawa Nitamwambia.Kamwambie mzee wako hakubaliki na watanzania hawamtaki. Mwaka huu CCM mtashangazwa na watanzania wajinga mliozoea kuwaibia kura zao na kujitangaza kwasababu Tume inateuliwa na mgombea wenu. Sasa basi!
Lakini usisahau kumwambia baba yako kwamba, Uongozi wa Nchi hii haupatikani kwa ngonjera, na hekaya. Hadithi za kutunga na roporopo nyingi mara ulaya mara bongo vijiweni anakowakamata nyie hazina nafasi!
Aendelee kucheza reggae, agakapopata sers mbadala ya chuki, uzushi na uongo. Aje agombee.
Kwa sasa ajiandae kwenda kuosha vyombo huko alikokuwa siku za nyuma