Tundu Lissu akirudi mwaka huu kuanza harakati za kisiasa 2025, anashinda

Hiyo haki sasa kutendeka. Chadema haishindani na Ccm tena bali na dora
 
Hadi amalize hela alizolipwa ndio atarudi.
 
Hivi mtu na akili zake timamu anaweza kweli kuchagua mtu ambaye #dishlimetilt kuwa rais wake? Huyo anatakiwa akapimwe akili haraka sana.
 
Lissu VS Samia, Samia anashinda asubuhi tu, lissu chizi yule hawezi shinda.Angalau wakimsimamisha Msigwa hekima anazo anaweza kuleta upinzani.Chadema waachane na wanaharakati aina ya lissu watapotea,lissu hafai mwacheni aendelee na kazi take ya uropokaji ameizoea na wala mbowe mchaga asiwe na tamaa ya kugombea ingawa ni haki take atagaragzwa mapema mno.Zitto,mbowe,lipumba na mbatia hawana lolote watulie kabisa ingawa wananchi tumeichoka CCM na rais wake,wasithubutu watakula za uso vibaya mno.

Al-Beshi kasema.
 
Samia Suluhu hana mpinzani come 2025. Mungu amjalie afya tu.

Magufuli na miundombinu yake yote na kupiga marufuku mikutano kwa miaka mitano alipata upinzani mpaka kuzima internet nchi nzima. Halafu kaishia kuengua wagombea wa Chadema karibia nusu yao na kuhakikisha waliobakia hawaingii bungeni.
 
Unaumia Sana. Lissu amebarikiwa ndio maana alipona kifo na walipojaribu kumuibia kura, wakafa Bill kufaidi wizi wao.
 
Sikufahamu kuwa nawe unapaswa kuingizwa katika list ya watu wapuuzi. Huyo ni kiongozi wa watu tena wenye akili wewe unaropoka kuwa kalaaniwa? Kalaaniwa na mama yako?
 

Acha vitisho. Lissu anafaa . Kama Magufuli mwenyewe ilibidi aharibu uchaguzi kulinda heshima sembuse huyu Samiah.
 
Lissu akirud mwaka huu kwanza ana kazi ya kuurudisha upinzani Tanzania. Ikumbukwe mikutano ya Hadhara bado haijaruhusiwa ila naamini Mama ataruhusu kabla ya huu mwaka kwisha.

Wa kumng'oa MAMA kwenye urais 2025 atatoka CCM kwenyewe na sio nje ya hapo.
 
Hapana Kusema lazima atoke ccm hilo nakataa, lissu akija hata kama mikutano ya hadhara imekatazwa yeye atafanya. Atatumia Katiba ya nchi kufanya mikutano ya hadhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…