Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.






UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka.

Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli.

Lissu CHUMA Cha Mjerumani anaunguruma Iringa Nzima Imesimama.

#Eti Chadema imekufa Iringa?? We we ulisikia waaapi?

#AWOOOOTEEH!
 



Huu ndio ukweli wa dunia ya leo , si kazi rahisi kuua upinzani kama baadhi ya viongozi walivyowaongopea wenzao .

Picha ya kwanza hapo juu ni Mgombea Urais wa Wananchi wa Tanzania akiomba udhamini Iringa Mjini leo hii , picha mbili za chini ni za jana jioni alipokuwa anasubiriwa na wananchi bila mafanikio baada ya kuchelewa kufika

 
Kwahiyo kwa akili yako unadhani hao walikusanyika apo watampigia kura? Mbona hata theluthi ya lowasa hajawahi fikia na hatofikia kamwe. Watanzania sio wajingaaaa.

Kwani wakati wa Lowassa cdm ilikuwa imekufa? Ni kweli hawatampigia kura, lakini wamekubali kwenda kumsikiliza, hilo pekee linatosha. Na tungekuwa na tume huru basi hapo ukweli wote ungekuwa hadharani.
 
Hatari na nusu ,MATAGA nawasisitiza waendelee kuhifadhi PedZinc na Hedex majumbani mwao maana matukio ya matumbo ya kuhara na vichwa kuuma yatawapata sana kipindi hiki cha kampeni za Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…