Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

U P D A T E S ..!! #Iringa muda huu kinawaka.

Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli.

Lissu CHUMA Cha Mjerumani anaunguruma Iringa Nzima Imesimama.

#Eti Chadema imekufa Iringa?? We we ulisikia waaapi...???

#AWOOOOTEEH.....!!!!
Kasesela aliita mkutano wa machinga kaambulia zero. Imagine jana Lissu alifika usiku ila watu wakaambiwa waondoke warudi leo na wameitika vilevile.... Kasesela ziiii
20200818_061038.jpg
 
18 August 2020
Iringa, Tanzania

Ilivyokuwa leo shughuli mjini Iringa Tundu Lissu akielekea viwanja vya Mwembe Togwa kutambulishwa na kuomba wadhamini

sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347 hapo mimi ndio naona ni tatizo
 
Watu wapi hao anao waongelea Lissu? Watu ambao pale serikali inapofanya juhudi kuimarisha maisha na ustawi wao, wewe hupinga huku ukipayuka kukejeli juhudi hizo.

Watu ambao unazunguka sehemu mbalimbali ulaya na USA ukichafua taifa lao, ukiwadalalia ushoga. A fool can never be a president of this country.
 
18 Agosti 2020
Iringa, Tanzania

CHAMA CHA CCM KIPO KTK BENDERA WAKATI UPINZANI UPO KTK MIOYO YA WATU
Peter Msigwa wa CHADEMA kanda ya Nyasa anazungumza maana ya ujio wa Tundu Lissu
 
Kwa mjibu wa Lisu Corona ipo Tanzania na inaua, picha hizo zinaonyesha jinsi gani yeye na wafuasi wake wanachukua hatua za kujikinga na maambukizi.
 
Hivi Chadema bado mnaaamini kushinda Urais kwa kujaza watu mikutanoni?
ingekuwa hivyo W. Slaa angekuwa anamkabidhi uongozi Ngoyai 2015
 
Watu wapi hao anao waongelea Lissu? Watu ambao pale serikali inapofanya juhudi kuimarisha maisha na ustawi wao, wewe hupinga huku ukipayuka kukejeli juhudi hizo.

Watu ambao unazunguka sehemu mbalimbali ulaya na USA ukichafua taifa lao, ukiwadalalia ushoga. A fool can never be a president of this country.
Zile Milioni 50 zimekuja kijijini kwenu nenda kachukuwe
 
Duh. Iringa nimewavulia kofia.
Mnaweza kuwashinda watu wa Singida kwa imani na upendo wa kweli.
 
yaaani magu mpaka sasa hajaongea chcohote wala hajazunguka lakini presha watu wanaopata
 
Back
Top Bottom