Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

KESHA YA WANA IRINGA JANA 17 AGOSTI 2020 AMBAPO TUNDU LISSU ALICHELEWA KUFIKA KUTOKANA NA RATIBA YA MOROGORO

Tundu Lissu akisubiriwa jana 17 Agosti 2020
Viongozi na wakazi wa Iringa waelezea walivyomsubiri kwa hamu jana Tundu Lissu huku watu akijitayarisha ili aweze kupata wadhamini 200 walio na kadi ya kupigia kura. Wadhamini ni mtanzania yeyote bila kujali kama ni mwanachama wa chama cha siasa au la.

Kichaa hupiga shangazi zake na kumgawa mama yake kwa washikaji! Huyo ndiye kichaa wa kweli!
🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️
 
18 August 2020
Iringa, Tanzania

MSAFARA UKIONDOKA MJINI IRINGA

WanaIringa wakimuaga Tundu Lissu toka viwanja vya MwembeTogwa mjini Iringa.
 
Zimekuja kwa mpango uke wa kupitia 4% sina hakika ya mapato ya kila Halmashauri kupewa kwa makundi mbalimbali ya kijamii, wamama, walemavu nk.
uliambiwa kila kijiji kitapewa 50milioni keshi money Halmashauri inaingiaje hap....subirini LISSU AWAPASUWE KWENYE KAMPENI
 
Hilo bango limenikosha sana. Uchumi wa kati una faida gani kama wengine karibu waanze kuokota makopo.
 
View attachment 1541012[/CENTER]

U P D A T E S ..!! #Iringa muda huu kinawaka.

Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli..!

Wafuasi wa upinzani humu hakika mnatisha kwa jinsi mnavyoweka mabandiko mengi ya kujifariji kuwa ushindi mwaka huu katika Uchaguzi Mkuu, njia ya kwenda Ikulu ni nyeupe pee. Inaonesha ni kwa kiasi gani mnavyojua siasa za Tz hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu. Hongereni sana

Laiti mngeweka Sera na mikakati mbadala
 
Kwani kampeni zimeanza?
 
Kwahiyo kwa akili yako unadhani hao walikusanyika apo watampigia kura? Mbona hata theluthi ya lowasa hajawahi fikia na hatofikia kamwe. Watanzania sio wajingaaa.
Kwa hiyo na wewe wale wanaokusanyika kuangalia magari ya vingora unadhani nao ni wapiga kura wale wamekuja kuangalia v8 hawazijui
 
Kwahiyo kwa akili yako unadhani hao walikusanyika apo watampigia kura? Mbona hata theluthi ya lowasa hajawahi fikia na hatofikia kamwe. Watanzania sio wajingaaa.
Hahahaahhaa, mmehamisha magoli ee? Mpaka 2020 chadema itakuwa imekufa kifo cha mende
 
FB_IMG_1597733863117.jpg
 
Kwahiyo kwa akili yako unadhani hao walikusanyika apo watampigia kura? Mbona hata theluthi ya lowasa hajawahi fikia na hatofikia kamwe. Watanzania sio wajingaaa.
Mikoani huwa Hakuna matukio mengi kwa hiyo likitokea tukio lolote Kwao kufurika Ni kitu Cha kawaida Ni Kama Out Kwao .Lakini haimaanishi kuwa Ni wapiga kura Ni watu wanakuja kuuburudisha macho
 
Back
Top Bottom