Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

imagine chama kizima wote mmeona cha kuongelea ni jogoo, daaah! mngejua mko kama machizi flan ivi ambao mmetelekezwa
MUNAJILAUMU MPAKA LEO KWANINI RISASI ZOTE ZILE MULIZO MMIMINIA LISU HAJAFA
 
Nimeipenda hii.uchumi wakati bila ajira
 

Acha utoto boss, mbona amani isiwe shakani kwenye kampeni, au kwenye kampeni wanakuja watu tofauti? Wavunja amani nchi hii ni ccm, kwa ushirikiano na jeshi la polisi.
 
Huku wakiimba wimbo wa Sarafina wa "Freedom is coming tomorrow", wananchi wa Iringa wamempokea Lissu kwa wingi ambao ni wa kihistoria kwa mji huo.

Wananchi wamefurahi mno kumuona Tundu Lissu akiwa hai baada ya kukosakosa kuuawa katika shambulio lililoitia doa nchi yetu miaka mitatu iliyopita.

Ziara hiyo ya Lissu inafuatia kiu ya wananchi kusikiliza maoni ya upande wa pili baada ya kuwa ni wenye kusikiliza misimamo ya CCM zaidi huku wapinzani wakiwa wamefungwa mikono kutumia haki yao ya kufanya siasa nchini kwa mujibu wa katiba na sheria.

Kwa mapokezi haya ni dhahiri wananchi walikuwa na dukuduku kali dhidi ya serikali hii iliyoko madarakani na inatoa dalili kuwa kama uchaguzi utakuwa huru na haki basi CCM haina chao :

Hii video inaonyesha mapokezi ya Tundu Lissu

 
Hata kichaa huwa anazungukwa na watu wengi kumshangaa

Watu wakipungua - amechokwa. Wakiwa wengi wanashangaa kichaa.

Mtamaliza misamiati yote.

Kwamba ni kichaa? Mwulize jiwe au yule bwana wa ruangwa.

Habari ndiyo hiyo.
 
Jamani kampeni hazijaanza! Zikianza itakuwaje sasa? Si watu watakufa?
 
Kitu kinachowaumiza vibaraka wa lumumba ni kua why lissu anapata mapokezi makubwa hv na wkt walinunua wabunge wengi cdm kuunga juhudi

Walidhani upinzani ni wanasiasa, wakasahau kuwa upinzani ni wa mawazo na fikra
Usipomtimizia mwananchi matarajio yake atakupinga tu bila kujali unamnunua nani!
 
CDM msisahau wasimamizi wa uchaguzi ndio wanaochagua mshindi nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…