Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

Kukaa kimya na unaona mtu anaonewa ni uoga na unafiki
kifupi haki haiombwi you must figtht for it!
 
Unaogopa jela?

Unaogopa kupambania haki kwa sababu unaogopa jela?

Yesu Kristo si tu alishitakiwa kwa uongo bali waliomshitaki waliona kuwa adhabu ya kumweka jela au magereza tu haitamtosha...

Kumkomesha waliamhukumu kunyongwa mpaka afe kwa kumtundika msalabani...!

Mtu mmoja aitwaye YESU KRISTO alikufa kwa ajili wengi, hakuogopa si tu jela bali kifo cha aina yoyote...

Mtu mmoja alisulubiwa msalabani ili si tu Tanzania iokolewe bali ulimwengu wote tukiwemo mimi na wewe...

Tundu Lissu yuko tayari hata kufa kwa ajili yangu, wewe na Watanzania wote wapenda haki...

Tupo pamoja naye. Tunamwimbea kila siku kila wakati...

Mungu hahitaji lundo la watu kuikimboa Tanzania. Anamhitaji mtu mmoja tu jasiri na mwenye haki. Mtu huyo ni Tundu Lissu...

Mungu yuko naye siku zote hata kama;

โžกAtapita kwenye moto, hataungua...

โžกHata kama atapita kwenye mto wa maji mengi, hawezi kumghaligisha..

โžกAjapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti, hatakufa kabisa....

Usijali. Jela si hoja. Jela si adhabu..

โžกJela, ni sehemu au njia ya kupitia ili kuufikia ukombozi kamili...

Ubarukiwe...
 
Shindwa usimfananishe Yesu na mtu anayejipigania kuwa raisi
 
Man is rational being mawazo kama haya yanatutofautishaje na ng'ombe, kuku mbuzi n.k.

Magereza na mahakama ulidhani ni kwaajili ya ng'ombe, punda?

Don't pretend to be irrational!
Kama wewe unakubali hili la lisu nenda kamsaidie kifungo
 


Wewe ni hayawani punguani. Jisikitikie kwa kukosa akili na utu.
 
Jamaa anazeeka kwa kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ