Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kamjaribu Trump kama hatutakuona kwenye midege yao na pingu shingoni😂😂😂Ni Tanzania pekee ukimkosoa kiongozi unaambiwa umetukana.
Trump amefanikiwa kuaminisha ulimwengu kwamba ni Hero au Savior kumbe ni nyoka mwenye vichwa viwili.Kamjaribu Trump kama hatutakuona kwenye midege yao na pingu shingoni😂😂😂
Amejichanganya sana huyo mzee na pia sidhani Rais Museveni alifurahishwa na maneno yake Juu ya Mwl. NyerereMwanasiasa msanii sana huyu, wakati wa bunge la katiba alimkashifu sana Baba wa Taifa, aliwaudhi watu wengi sana kwa kauli zake dhidi ya Mwalimu Nyerere.
Alivyo mnafiki ameonekana kule uganda akitoa mhadhara na akamwelezea vizuri kabisa Mwalimu Nyerere.
Ukiwa mnafiki utotoni ukifikia uzeeni lazima utakuwa mchawi
Kwhy unataka kusema huko USA watu hamkosoi TrumpKamjaribu Trump kama hatutakuona kwenye midege yao na pingu shingoni😂😂😂
Amemsifia katika nini na alimkashifu katika nini?Mwanasiasa msanii sana huyu, wakati wa bunge la katiba alimkashifu sana Baba wa Taifa, aliwaudhi watu wengi sana kwa kauli zake dhidi ya Mwalimu Nyerere.
Alivyo mnafiki ameonekana kule uganda akitoa mhadhara na akamwelezea vizuri kabisa Mwalimu Nyerere.
Ukiwa mnafiki utotoni ukifikia uzeeni lazima utakuwa mchawi
Ukimkosoa wewe ni kwisha.Trump amefanikiwa kuaminisha ulimwengu kwamba ni Hero au Savior kumbe ni nyoka mwenye vichwa viwili.
Tabia ya kijinga sana.Ni Tanzania pekee ukimkosoa kiongozi unaambiwa umetukana.
Kumbe hilo ni tusi aisee🤔🤔"Mwalimu Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu"
(Lissu 13/04/2014)
Hakwenda Makerere kumfurahisha mtu, ila kutoa mhadhara kulingana na mada waliyoiandaaAmejichanganya sana huyo mzee na pia sidhani Rais Museveni alifurahishwa na maneno yake Juu ya Mwl. Nyerere
Soma tena alichoandika Bob Manson na majibu nilio yatoa.Kwhy unataka kusema huko USA watu hamkosoi Trump