Tundu Lissu akiwa Uganda amemsifia Mwalimu Nyerere lakini ni yeye ndiye aliyemtukana kwenye Bunge la Katiba

Huelewi English mbwa wewe.
 
Huo upuuzi wa wakatoliki hauta badilisha ukweli kwamba alikua binadamu na alikua anakosea na sio dhambi wala sio kuvunja sheria kusema makosa yake
 
Soma tena alichoandika Bob Manson na majibu nilio yatoa.

Nikuulize, je, ni Tanzania pekee ndio ukimkosoa kiongozi unaambiwa umemtukana?

Anzia hapo ndipo nikujibu.
We umetolea mfano wa US na Trump hapo ndipo napingana na wewe.
Trump si kukosolewa tuu ana tukanwa pia.
Na hakuna anachofanya.


Ungetolea mfano hata wa North Korea nisingekupinga.
 
TAL huwa anaongea, mazuri na mabaya, yote bila kumuogapa mtu yoyote pia hata awe nani ndio navyopendea.?
 
Wala hajamsifia kamsema kwa makosa yake yote na kamsema kwa mema yake
 
Ukisema makosa ya nyerere humtukani bali unathibitisha ubinadamu wake.
Museveni anapambana sana Nyerere apate hadhi ya mtakatifu kitu ambcho ni ndoto.
 
Kwani "ukimtukana" mtu huruhusiwi kumsifia anapositahiri sifa.

Tatizo la watu wenye akili finyu ni kuamini mtu hawezi kuwa na mabaya pamoja na mazuri.

Mwalimu Nyerere Mwenyewe alijikosoa kiasi fulani.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutukana na kukosoa. Nadhani wewe unayachanganya hayo mawili. Lisu alimtukana mwl Nyerere!
 
Waungwana ndivyo walivyo. Hukemea mabaya na kusifia mazuri.
 
“Only stupid people don’t change their minds.”


— Boutros Boutros-Ghali
 
Hujui kiingereza mleta mada, nenda kwa rasi Simba halafu ndipo uje utazame tena video clips za mjadala wa Lisu akiwa Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…