Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alakiwa na Maelfu ya Wakazi wa Bunda Mjini, Wajaza fomu za Udhamini

Hata mwaka 2015 ilikuwa hivi hivi lakini makamanda tulishindwa. je tulikosea wapi??
Tume kaka. Walichokifanya wanajua wenyewe! Kama umeshuhudia uchaguzi wa wazi wa CCM na manguko ya wakubwa, basi ikitokea kila kitu kikawa hadharani mwaka huu basi upinzani wanashinda. Rejea kauli ya Polepole, kwamba kama uchaguzi utakuwa huru na haki, basi CCM ijianda kufungasha virago
 
Mwenzao juzi alikuwa kutafuta wazamini Dumila akitembea na wauza mahindi kutoka Dar
 
Watu wanaenda kumshangaa Mtu anayetaka kubadili wimbo wa Taifa kwa manufaa yake. Wakimaliza kumshangaa watarudi tena? Subiri kampeini. Nawaza tu makamanda. Bila vionjo kama hivi uzi haunogi. Ha ha haaa!
Sio tena msaliti wa taifa? Sio rafiki wa mabeberu tena?? Vipi upinzani haujafa tu??
 
Watu wanaenda kumshangaa Mtu anayetaka kubadili wimbo wa Taifa kwa manufaa yake. Wakimaliza kumshangaa watarudi tena? Subiri kampeini. Nawaza tu makamanda. Bila vionjo kama hivi uzi haunogi. Ha ha haaa!
hahahaaaa hahahaaaa hahahaaaaaaaa!
 
Waandishi wanozunguka wanaopata wasaa wa kushuhudia matukio ya mgombea wetu tumie camera nzuri zinazoweza kuchukua tukio kutoka angani pande zote.
 
Wahenga tujikumbushe mafuriko ya chadema 2015

Na kauli mbiu ulipotupo😂😂😂😂😂
 
Tuliwaambia hadi kufikia 2020 Chadema itakuwa imekufa,lakini mnabisha.
 
Mwenzao juzi alikuwa kutafuta wazamini Dumila akitembea na wauza mahindi kutoka Dar
🤣 🤣 🤣 hivi unaweza kumuuzia raisi hindi la kuchoma akala hapohapo kwenye gari? Jamaa walitengeneza ile movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…