Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Asiye Na Mwana Aeleke JiweHatari tupu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiye Na Mwana Aeleke JiweHatari tupu!!
Tume kaka. Walichokifanya wanajua wenyewe! Kama umeshuhudia uchaguzi wa wazi wa CCM na manguko ya wakubwa, basi ikitokea kila kitu kikawa hadharani mwaka huu basi upinzani wanashinda. Rejea kauli ya Polepole, kwamba kama uchaguzi utakuwa huru na haki, basi CCM ijianda kufungasha viragoHata mwaka 2015 ilikuwa hivi hivi lakini makamanda tulishindwa. je tulikosea wapi??
Mwenzao juzi alikuwa kutafuta wazamini Dumila akitembea na wauza mahindi kutoka DarView attachment 1535001
Kutoka Kushoto: Salum Mwalim Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania(CHADEMA), Tundu Lissu Mgombea Urais wa Tanzaniana(CHADEMA) Esther Bulaya Mgombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini Kupitia CHADEMA
View attachment 1535013
View attachment 1535003View attachment 1535004View attachment 1535005View attachment 1535007View attachment 1535011View attachment 1535008View attachment 1535010
Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea mwenza Mhe. Salum Mwalim wakizungumza na Wananchi wa Jimbo Bunda mjini waliofika kwa ajili ya kumdhamini. Leo Jumatano 12/08/2020.
#NiYeye2020
#SasaBasi #PeoplesPower
#NoHateNoFear
Yule mzee alikuwa dhaifu sana! Vijana walimwambia waingie barabarani akawazuia! Safari hii wachunge sana hilo sandukuHata mwaka 2015 ilikuwa hivi hivi lakini makamanda tulishindwa. je tulikosea wapi??
Sio tena msaliti wa taifa? Sio rafiki wa mabeberu tena?? Vipi upinzani haujafa tu??Watu wanaenda kumshangaa Mtu anayetaka kubadili wimbo wa Taifa kwa manufaa yake. Wakimaliza kumshangaa watarudi tena? Subiri kampeini. Nawaza tu makamanda. Bila vionjo kama hivi uzi haunogi. Ha ha haaa!
hahahaaaa hahahaaaa hahahaaaaaaaa!Watu wanaenda kumshangaa Mtu anayetaka kubadili wimbo wa Taifa kwa manufaa yake. Wakimaliza kumshangaa watarudi tena? Subiri kampeini. Nawaza tu makamanda. Bila vionjo kama hivi uzi haunogi. Ha ha haaa!
nukuu ya mwl nyerere...".Watu wakiyakosa maendeleo ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm "...Wamesombwa na malori hawa
HSWamesombwa na malori hawa
Wasiojulikana ambao hawatakiwi wajulikane itaendelea kuwa doa kubwa kwa CCMLissu hana jipya zaidi ya RISASI, RISASI
ngoja kampeni zianze utapata jibu lako na umwambie na mumeo kuwa RAIS MTARAJIWA atakuja KONGWAHivi mbona Lissu hakwenda Kongwa kwa Ndugai??
mbona mnahofu nyie wanawaLUMUMBA? hebu tlizeni mizuka yenu
Na hayo yalikua mafuriko ya mtu asiyeongea kwa zaidi ya dakika 10 tu,sasa patia picha mafuriko ya Lissu kwny uchaguzi yatakuaje.Wahenga tujikumbushe mafuriko ya chadema 2015
View attachment 1535058
Na kauli mbiu ulipotupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
eti CHADEMA imekufa, kafe na wanyama pori huko walikohamishiwa! BurigiChadema imekufa. Kafie huko chato
Swissme
Wamesombwa na malori hawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli nchi hii watu wamechoka aisee!
🤣 🤣 🤣 hivi unaweza kumuuzia raisi hindi la kuchoma akala hapohapo kwenye gari? Jamaa walitengeneza ile movieMwenzao juzi alikuwa kutafuta wazamini Dumila akitembea na wauza mahindi kutoka Dar
Hata mwaka 2015 ilikuwa hivi hivi lakini makamanda tulishindwa. je tulikosea wapi??