Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
ha ha ha MKUUWamesombwa na malori hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha MKUUWamesombwa na malori hawa
Hata mwaka 2015 ilikuwa hivi hivi lakini makamanda tulishindwa. je tulikosea wapi??
Kamanda MWALA, Nakuomba umheshimu sana kamanda LESIRIAMU! Pia kauli yake haimanishi kwamba Lisu angekwama au ameogopa kwenda Kongwa!ngoja kampeni zianze utapata jibu lako na umwambie na mumeo kuwa RAIS MTARAJIWA atakuja KONGWA
Swala la kifo cha CHADEMA, mlijua na mkatuambia ila mlicho kosa kujua ni kufufuka kwake! CDM imefufuka, na mafuriko, nguvu yako, kishindo chake; ni hataree!!Tuliwaambia hadi kufikia 2020 Chadema itakuwa imekufa,lakini mnabisha.
Ikumbukwe Lowasa alihamia chadema na mitaji muhimu sana katika kuwezesha chama chochote kushinda uchaguzi mkuu lakini alishindwaNa hayo yalikua mafuriko ya mtu asiyeongea kwa zaidi ya dakika 10 tu,sasa patia picha mafuriko ya Lissu kwny uchaguzi yatakuaje.
Kulinda kura.Hata mwaka 2015 ilikuwa hivi hivi lakini makamanda tulishindwa. je tulikosea wapi??
Umetokea Kijiji gani??Jifunze kuandika =Midaharo ndo nini
Lissu hana jipya zaidi ya RISASI, RISASI