Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alakiwa na Maelfu ya Wakazi wa Bunda Mjini, Wajaza fomu za Udhamini

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alakiwa na Maelfu ya Wakazi wa Bunda Mjini, Wajaza fomu za Udhamini

Attachments

  • IMG_-z4lsiq.jpg
    IMG_-z4lsiq.jpg
    26 KB · Views: 1
ngoja kampeni zianze utapata jibu lako na umwambie na mumeo kuwa RAIS MTARAJIWA atakuja KONGWA
Kamanda MWALA, Nakuomba umheshimu sana kamanda LESIRIAMU! Pia kauli yake haimanishi kwamba Lisu angekwama au ameogopa kwenda Kongwa!
 
Tuliwaambia hadi kufikia 2020 Chadema itakuwa imekufa,lakini mnabisha.
Swala la kifo cha CHADEMA, mlijua na mkatuambia ila mlicho kosa kujua ni kufufuka kwake! CDM imefufuka, na mafuriko, nguvu yako, kishindo chake; ni hataree!!
 
Na hayo yalikua mafuriko ya mtu asiyeongea kwa zaidi ya dakika 10 tu,sasa patia picha mafuriko ya Lissu kwny uchaguzi yatakuaje.
Ikumbukwe Lowasa alihamia chadema na mitaji muhimu sana katika kuwezesha chama chochote kushinda uchaguzi mkuu lakini alishindwa
1.Pesa pamoja
2.Mafuriko ya wafuasi wa CCM walihamia nae chadema
Dakika10 alizokua anaongea haikua shida sana maana alikua anaongea na wafuasi na sio kwamba alikua anaongea kutafuta wafuasi

Eti Jane Lowassa wakati ule dad alihamia na wafuasi wangapi chadema. Achana na wasanii na viongozi wa dini zote😁😁
 
Back
Top Bottom