King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wewe ndio hautumii akili kabisa ,si tushasema mambo yaliyotendeka siku ya uchaguzi? Mawakala 50% hawajaruhusiwa,wengine walitishiwa mitutu ,teeth,policcm na nec ndio walikuwa na matokeo na ndio maana yule mpuuzi wa hai alimwambia mbowe "haushindi".W
Wakati unamshangilia Tundu Lisu awapeleke kikamanda ulidhani anagombea nini?
Wakati mnasema hamtaibiwa kura ulidhani ni kura zipi hazitaibiwa?
Tumieni akiri basi nyie
Katika kuishi kwangu, kumbukumbu zinaniambia hakuna mwaka taifa liliombea uchaguzi kama 2015
Chadema ilikua na ushawishi mkubwa karibia tuu na ilivyokuwa CCM.
Kwenye ibada za kuuga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015 viongozi wa madhehebu yote, makanisani na misikitini waliukaribisha mwaka kwa maombi ya kumpata kiongozi sahihi wa kuongoza taifa hili.
2015 watanzania walikosa matumaini, imani kwa serikali ilipotea. Wengi walitegemea chadema chini msingi imara wa viongozi wake ingeinusuru nchi huku watanzania wakiombea taifakwa zaidi ya miezi9.
Ilipofika wakati wa teuzi kwenye vyama yaliyotokea ilikua miujiza ambayo hakuna aliyewahi kuwazia. Waliotegemewa kupata wakikosa na wasiotegemewa walitokea ghafla na kupata.
Mungu ibariki Tanzania
Tulisusa uchaguzi SM tukatarajia mmejirekebisha uchaguzi huu, lakini uchaguzi huu kila mtu kaona tulikuwa sahihi kususia uchaguzi ule. Tunataka kujua unataka tususe ili nini kitokee, nijue unachotaka kwenye hilo.
Mpaka huu muda sjawahi kuelewa huo msemo[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Lisu alifikiri anawaonya kina mmawia au?
Tena waishie kabisa, tunataka wapinzani wenye kuheshimu mamlaka na kushauri kwa heshima na siyo kutukana, na wakome kabisa, siasa zetu hatutakiwi kuiga za mataifa mengine, let us build our own style of opposition, siyo upinzani wa akina Zitto, yaani wakuangalia namna ya kupata madaraka badala ya maslahi ya taifa. Na bado, tuliwaambia waombe msamaha wameshupaza shingo, the end will never end for them, they are doomed to go that way infinitely!Mimi nawashangaa sana CCM. Wapinzani mmeshawamaliza hivi mnahangaika nao wa nini tena.? Tumewaacha muongoze mpaka mtakapo choka. Lakin bado tu mnawafuatilia wapinzani mnawataka wa nn ?
Mkisusia, ccm na selikali wataona aibu kufanya chaguzi peke yao na shinikizo litakuwa kubwa kuundwa kwa tume hurhNi kweli, Halafu?
Mkisusia, ccm na selikali wataona aibu kufanya chaguzi peke yao na shinikizo litakuwa kubwa kuundwa kwa tume hurh
Mnasusia huku mnachungulia mifuko ya hela?Ingekuwa ccm wana uwezo wa kushindana kwa box la kura wangeona aibu. Uchaguzi wa marudio hapo Znz CUF ya Maalim Seif walisusia, mbona hawakuona aibu?
Wapo waliogoma kujiandikisha kupiga kura; na wapo hao 2/3 waliojiandikisha wakagoma kupiga kura pia, hawa kwao lolote sawa tuu. Inaonekana majority wako comfortable na hali ya siasa kwa sasaKwani sasa wananchi ndio wamekuwa na imani na serikali/ccm? 2/3 ya watanzania wamegoma kupiga kura, je hiyo imani inatoka wapi?
Wapo waliogoma kujiandikisha kupiga kura; na wapo hao 2/3 waliojiandikisha wakagoma kupiga kura pia, hawa kwao lolote sawa tuu. Inaonekana majority wako comfortable na hali ya siasa kwa sasa
Siku Watanzania wataguswa na kuyataka mabadiliko watasimama, watapiga kura na watasimamia wanachokitaka bila kuzuiwa na mtu yoyote
CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.
Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.
Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.
Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.
Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.
Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70.
Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!
Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!
''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!
Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuzwe!
Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.
Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!
Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!
Kinachofurahisha zaidi, ameamua kukimbia bila kuwaeleza makamanda ''maandazi'' kama amesitisha maandamano au bado yapo palepale!
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa
WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake Uongozi...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!
TUNDU LISU SIYO MZEE LOWASA, ASIPUUZWE. Na, Robert Heriel. Moja ya sifa ya Mpumbavu ni kuishi kwa Dharau na mazoea. Tabia ya mazoea imeangusha watu wengi mashuhuri. Maisha hayana mazoea, maisha yanabadilika. Hivyo hata siasa haina mazoea, siasa zinabadilika, dakika moja inatosha kabisa...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020
Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'. Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana ukwasi lkn hana bei, anajiamini hasa eneo lake la kujidai la sheria tofauti na Lowassa, hivyo ana...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020. Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake...www.jamiiforums.com
Watu wamepuuza box la Kura. Mugabe wakati yuko kwenye kilele cha udictator wake, alikuwa anashinda kwa 80%+ kama ccm hivi sasa. Wapambe wake kama ww walikuwa wanasema Mugabe anakubalika kwakuwa ni mzalendo. Wapinzani wake alikuwa anawaua, na kwenye uchaguzi mizengwe ilikuwa mingi ili atangazwe mshindi, kama hapa Tanzania kwa sasa. Ila wananchi uoga ulipowaisha, walimtoa bila kutumia box la kura.
Wananchi ndio wenye maamuzi kama ulivyosema. Ila kwa sasa hata viongozi wa upinzani wapige kelele vipi kama asilimia kubwa ya wananchi wana furaha na amani na mfumo mabadiliko bado hayawezi kuwepo.
Lingine ni upinzani wenye malengo na upinzani imara kwa maslahi ya nchi. Chadema walikua imara sana hadi 2015, walijenga heshma kubwa na uaminifu mkubwa sana kwa watanzania, walihubiri vitu vya msingi vilivyogusa maslahi ya wananchi na wananchi wake ambavyo hakuna chama kilikua kinafanya.
Kitendo cha chadema kukusanya na kuyatetea yale maovu yaliyokua yanafanywa na ccm ndio kilichowafikisha wananchi njia panda kuona heri ccm inayopiga vita ufisadi kuliko chadema inayosafisha mafisadi.
Ukiamua kuwa mpinzani mwenye mafanikio lazima uache vile vibaya watawala wanavyofanya na ufanye vile vile vizuri ambavyo chama tawala hawafanyi
Kwani kulifanyika uchaguzi?CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu.
Matokeo yake amekuwa ni kati ya wanasiasa ambao wameididimiza CHADEMA kimaslahi huku yeye akiamua kwenda kupata ''income support'' nchi za watu.
Kelele za ''mtaalam wa sheria'' kwenye majukwaa zilikuwa ni nyingi huku akiwaaminisha anaenda Ikulu lakini ufanisi ni zero.
Tukumbuke kuwa, Mwaka 2005, ''Mzee wa anga'' aliikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 4 na baada ya Uchaguzi akaiacha ina wabunge 5.
Mwaka 2010, ''Baba Paroko'' akaikuta CHADEMA ikiwa na wabunge 5 na baada ya uchaguzi aliiacha ina wabunge 48.
Mwaka 2015, ''Fisadi Papa'' akajitosa na kuikuta CHADEMA ina wabunge 48 na kuiacha ina wabunge 70.
Mwaka huu, ''Mtaalam wa sheria'' ameikuta CHADEMA ina wabunge zaidi ya 50 na ameiacha ina mbunge 1 ambaye kwa aibu hataki kumtambua!
Unaweza kusema lolote au kuchanganua na kuchambua lakini ukweli utabaki palepale kuwa amekuwa ni mmoja wa watu walioiporomosha CHADEMA kimapato na kuikimbia haraka sana!
''Fisadi Papa'' ilimchukua miaka 4 baada ya uchaguzi Mkuu kuikimbia CHADEMA, huyu ''Mtaalam wa sheria'' hata mwezi mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu haujaisha ameamua kuikimbia CHADEMA!
Wafuasi wake ''maandazi'' walituaminisha huyu ''mtaalam wa sheria'' sio kama ''Fisadi Papa'' kwa sababu ni jasiri na kwa maana hiyo ''chama cha kijani'' kisimpuuzwe!
Thread zilijazana hapa Jamiiforums za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' kwa ujasiri na nguvu za kisiasa alizonazo huku mgombea wa ''chama cha kijani'' akiambiwa ajiandae kukabidhi Ikulu kwa kupenda au kutopenda baada ya Uchaguzi Mkuu.
Mtu mwenye akili timamu atajiuliza, imekuwaje mtu aliyetuambia haogopi lolote akimbie haraka iwezekanavyo!
Hizi ni baadhi ya thread za kumsifia ''mtaalam wa sheria'' ambaye alikimbilia kwenye majengo ya balozi za Ulaya baada tu ya kumaliza kuitisha maandamano yasiyo na kikomo!
Kinachofurahisha zaidi, ameamua kukimbia bila kuwaeleza makamanda ''maandazi'' kama amesitisha maandamano au bado yapo palepale!
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa
WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake Uongozi...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!
TUNDU LISU SIYO MZEE LOWASA, ASIPUUZWE. Na, Robert Heriel. Moja ya sifa ya Mpumbavu ni kuishi kwa Dharau na mazoea. Tabia ya mazoea imeangusha watu wengi mashuhuri. Maisha hayana mazoea, maisha yanabadilika. Hivyo hata siasa haina mazoea, siasa zinabadilika, dakika moja inatosha kabisa...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020
Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'. Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana ukwasi lkn hana bei, anajiamini hasa eneo lake la kujidai la sheria tofauti na Lowassa, hivyo ana...www.jamiiforums.com
LINK>>>Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020. Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake...www.jamiiforums.com
Wewe ujuae siasa ndio hiyo siasa ya mauaji unayoizungumzia?Wewe hujui lolote bali ni mchekeshaji wa siasa!
Soma hapa;
ACT yatafakari kujiunga Serikali ya Umoja ya Kitaifa Zanzibar
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kinajipa muda zaidi wa kutafakari iwapo itapendekeza jina la makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar pamoja na kushiriki katika Serikali ya Umoja ya Kitaifa (SUK).www.mwananchi.co.tz
Hata mimi nilijua wanapanga mikakati ya kuifanya Tanzania iwe kama ulaya ifikapo mwaka 2025.Mimi nawashangaa sana CCM. Wapinzani mmeshawamaliza hivi mnahangaika nao wa nini tena.? Tumewaacha muongoze mpaka mtakapo choka. Lakin bado tu mnawafuatilia wapinzani mnawataka wa nini?
Na ndiyo sababu hasira za Mungu zimeanza kuwashukia............Tatizo la hawa maccm yanataka kuwaaminisha watu upuuzi wao kuwa ndiyo ukweli. Nafsi zinawasuta mno kuvikalia viti ambavyo siyo vya kwao.
Kuna kila sababu kuiomba USAid na WHO & EU watupe msaada wa upimaji wa akili na vinasaba vya Watanzania,hasa hasa wafuasi wa CCM,kisha ufanyike utafiti juu ya sababu ya matokeo hayo ya upimaji."Anayeamini kwamba tar 27 na 28 kulikuwa na uchaguzi inabidi apelekwe mirembe" - Mbowe