Tindikali Kali
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 541
- 396
Kwa hiyo! Na wewe unaamini kuwa uchaguzi utarudiwa, au watatuletea rais mwingine?
Zoezi tulilolimaliza dunia ilituona tukiwa "Uchi"
It has been a village ever since! Bw Hole baada ya kupona si alizunguka sana ulaya na marekani. Imesaidia nini zaidi ya kuwaletea ushoga?Dunia ya Sasa ni Kijiji
Kwa falsafa zenu za kipumbavu, probably yes! Kwamba wakikosa Chadema basi Tanzania wakose. Chances kwamba Chadema watafanikiwa hata moja kati ya madai yao ni sifuri.Nadhani madhara ya kujisaidia K'koo mchana Kweupe tutayaona mda si Mrefu
Hakuna katiba mpya, hakuna "tume huru" na zaidi hakuna uchaguzi mwingine. Tukutane 2025...