Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alikuja CHADEMA ikiwa na wabunge zaidi ya 50, anaondoka, ikiwa na Mbunge 1

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alikuja CHADEMA ikiwa na wabunge zaidi ya 50, anaondoka, ikiwa na Mbunge 1

Zoezi tulilolimaliza dunia ilituona tukiwa "Uchi"
Kwa hiyo! Na wewe unaamini kuwa uchaguzi utarudiwa, au watatuletea rais mwingine?
Dunia ya Sasa ni Kijiji
It has been a village ever since! Bw Hole baada ya kupona si alizunguka sana ulaya na marekani. Imesaidia nini zaidi ya kuwaletea ushoga?
Nadhani madhara ya kujisaidia K'koo mchana Kweupe tutayaona mda si Mrefu
Kwa falsafa zenu za kipumbavu, probably yes! Kwamba wakikosa Chadema basi Tanzania wakose. Chances kwamba Chadema watafanikiwa hata moja kati ya madai yao ni sifuri.

Hakuna katiba mpya, hakuna "tume huru" na zaidi hakuna uchaguzi mwingine. Tukutane 2025...
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana kuhusu ukuwaji upinzani Tz, ukichora graph, utaona ni 'Straight Line!'. Hivyo ni dhahiri kila chaguzi wapinzani wanaongeza nguvu na umakini, sababu za kukosa majimbo na urais imethihirika wazi zipo nje ya uwezo wao, hawana jeshi! Ni hapa tu ndipo waliposhindwa!

Nimefuatilia upinzani uliokuwepo Nkansi kaskazini, ndio upinzani uliokuwepo karibu kwenye majimbo yote walikosimamisha wagombea, hivyo kama si ile technolojia ya kichawi, huwenda mwaka huu wangegawana majimbo na CCM!

Hivyo Lissu ameiinua CHADEMA pengine kuliko wagombea wote waliotangulia, hili Mungu anayeona sirini analijua! CCM pia wanalijua! Na hata mtoa post pia analijuwa!
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana kuhusu ukuwaji upinzani Tz, ukichora graph, utaona ni 'Straight Line!'. Hivyo ni dhahiri kila chaguzi wapinzani wanaongeza nguvu na umakini, sababu za kukosa majimbo na urais imethihirika wazi zipo nje ya uwezo wao, hawana jeshi!..

Lissu angeinua CHADEMA then angeruhusu viti maalum waende bungeni

Anawambia wasuse then ela wanapata wapi? Watasikika katika platform gani?

Kweli miaka mitano chama kipo kimya do u think 2025 kitakuwepo?
 
Ila ndugu yangu sikumbuki ni uchaguzi gani wa Tanzania umefanya CCM inyooshewe vidole na kusutwa Duniani kama huu, bila shaka effect ya Lissu hiyo.
Effect pekee niionayo ni dunia kutushangaa kwanini tumekubali na kuruhusu kumweka mgombea kibaraka na dalali asiye mzalendo kama huyo Mr Mzungu. Mwl. Nyerere waz definitely rait: Watanzania sasa wamelewa amani!
 
Kwa hiyo! Na wewe unaamini kuwa uchaguzi utarudiwa, au watatuletea rais mwingine?

It has been a village ever since! Bw Hole baada ya kupona si alizunguka sana ulaya na marekani. Imesaidia nini zaidi ya kuwaletea ushoga?

Kwa falsafa zenu za kipumbavu, probably yes! Kwamba wakikosa Chadema basi Tanzania wakose. Chances kwamba Chadema watafanikiwa hata moja kati ya madai yao ni sifuri.
Hakuna katiba mpya, hakuna "tume huru" na zaidi hakuna uchaguzi mwingine. Tukutane 2025...
Absolutely umeongea vema kabisa
 
Effect pekee niionayo ni dunia kutushangaa kwanini tumekubali na kuruhusu kumweka mgombea kibaraka na dalali asiye mzalendo kama huyo Mr Mzungu. Mwl. Nyerere waz definitely rait: Watanzania sasa wamelewa amani!
Dunia imetushangaa jana mabeberu yamemsindikiza airport nchi huru ikamuacha kaondoka wakati ana keso 6 kisutu
 
dunia imetushangaa jana mabeberu yamemsindikiza airport nchi huru ikamuacha kaondoka wakati ana keso 6 kisutu
Wamemdhamini na lazima arudi. Vinginevyo, hizo nchi tutaziwekea vikwazo vya kiuchumi, moja baada ya nyingine, mpaka waje wanakimbia na "ku-two-pi-gear mar-go-tea" kama ilivyokuwa jamaa yule wa "maksima kapa!"
 
Baba paroko kapiga kazi kubwa sana kuikuza chadema baada ya kuongeza wabunge zaidi ya Mara Tisa ya mtangulizi wake wengine hakuna aliyefika hata Mara mbili ya mtangulizi wake
 
Tuandike mambo bila kupotosha..
Tundu akija ilikuwa wakati wa kampeni..wakati huo kulikuwa na wagombea UBUNGE na hakukuwa na WABUNGE..
 
ACT wanataka maridhiano zanzibar, na Leo wameshiriki kwenye mkutano wa kwanza wa baraza

Hao ndio wanasiasa

Aisee?
Kamfano kadogo tu, je wakumbuka Dr Slaa alipovunjwa mkono (???). Leo hii baada ya ile muvi kufikia ukomo kwani yuko wapi? Pili, ni lini akina ZZK, Sefu, PhD ya Uchumi wamewahi kua wageni wa BWANA Jela popote pale?

Ukishapata jibu endelea mbere na hoja yako
 
Wanaona bora wakae kimya miaka mitano, kuliko kupeleka wabunge ambao watafanya wasikike
 
CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu...
Lissu ameleta hasara kubwa CHADEMA.
 
Watu wamepuuza box la Kura. Mugabe wakati yuko kwenye kilele cha udictator wake, alikuwa anashinda kwa 80%+ kama ccm hivi sasa. Wapambe wake kama ww walikuwa wanasema Mugabe anakubalika kwakuwa ni mzalendo. Wapinzani wake alikuwa anawaua, na kwenye uchaguzi mizengwe ilikuwa mingi ili atangazwe mshindi, kama hapa Tanzania kwa sasa. Ila wananchi uoga ulipowaisha, walimtoa bila kutumia box la kura.
Waliomtoa Mugabe ni wanajeshi na siyo raia wa kawaida
 
CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu...
Watanzania wote wanajua ule haukuwa uchaguzi bali uchafuzi.

Ni aibu kwa CCM kutumia NEC na dola kujiwekea ushindi wa kubumba!!

Upinzani ulishinda kwa idadi ya wabunge 102 na Lissu alipata 72%. We all know!!
 
Back
Top Bottom