johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nani anawasikiliza hao mabeberu?!!Ni sahihi kabisa ingawa pressure kutoka nje huenda ndio sababu.
TL anacheza mind games na vyombo vya Ulinzi na Walimu ambayo ndio wahesabu kura.Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu anasema jeshi la polisi limefanya kazi nzuri katika maeneo yote aliyopita na kufanya kampeni.
Lisu anasema polisi wasisingiziwe kwa lolote kwa sababu wanafanya kazi yao vizuri.
Source Ayo tv.
Maendeleo hayana vyama!
Wakikupa pesa mbona uwaiti mabeberu wewe mbuzi jike?Nani anawasikiliza hao mabeberu?!!
Tuliamini jeshi letu japo kwa hiki kilichotajwa.Ni sahihi kabisa ingawa pressure kutoka nje huenda ndio sababu.
Chadema Wana uadui na taasisi zote hapa nchini,
Anachokisema lisu hakina tofauti na namna anavyoisifia mahakama inapotoa maamuzi yanayoipa faida upande wake ila pale maamuzi yakiwa kinyume cha matarajio yao utasikia jaji au hakimu anafuata maelekezo toka juu.
Huyu jamaa sio wa kumuamini ni mbinafsi na hapo anawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa, wakifanya kinyume na matarajio yake utasikia wanafuata maelekezo toka juu.
Hakuna jipya hapo ni muendelezo wa tabia zao za kila siku.
Kuhusiana na neno beberu ulimsikiliza vizur ??Nani anawasikiliza hao mabeberu?!!
Kweli kampeni hizi polisi nao wanaenda sambamba na kimbunga cha kokoto!
Wanasubiri Lisu aapishwe walipwe mara dufu kama watakavyoongezewa mshahara wafanyakazi wengine wote wa serikali na wale wa sekta binafsi
ππππππππππππwe jamaa unawaza mbaliMgombea urais wa maccm hana tofauti na gari la kubebea mkaa.
Tripu moja shamba kufuata mkaa, Tripu ya pili gereji
Unaposhabikia dhulma miaka 5 na kushabikia watendaji wa dhulma; na ukikalia kimya maiti kuokotwa kwenye viroba, wananchi kutekwa na kupotea, watu kubambikiwa kesi, biashara za watu kufungiwa - basi ujue umekosa uhalali wa kuongelea amani
Kule Twitter kuna habari kamili juu magu na Afya yake ndiyo maana campaign zake zinaenda Kwa kusuasuaMgombea urais wa maccm hana tofauti na gari la kubebea mkaa.
Tripu moja shamba kufuata mkaa, Tripu ya pili gereji
Unaposhabikia dhulma miaka 5 na kushabikia watendaji wa dhulma; na ukikalia kimya maiti kuokotwa kwenye viroba, wananchi kutekwa na kupotea, watu kubambikiwa kesi, biashara za watu kufungiwa - basi ujue umekosa uhalali wa kuongelea amani