Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kuna siku nilikasikia eti Kama sema "Magufuli Hana jeshi la kukafanya kasiwe ka Rais"😂😂Nilimsikiliza kwenye moja ya kampeni zake akanza kuwachokoza jukwani et anawambia na nyie mtakuwa wastafu na mtapatashida kwenye mafao
Nikajiuliza uyu bwana mdogo why Ni mchokozi kiasi hiki ?anataka nini? na kwa nini anze kuwananga jukwani?,
Lisu Ni mchokozi anayetafuta huruma ya wananchi kwa kila namna ajuayo yeye na genge lake Ni WAKUPUZA KIFUPI
Sasa jeshi na kampeni wapi na wapi,au ndo kutafuta sababu za kutaka watu wakuonyeshe uwezo walionao?