Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli wa sasa ni imara zaidi kuliko Magufuli wa wakati wowote ule.Kule Twitter kuna habari kamili juu magu na Afya yake ndiyo maana campaign zake zinaenda Kwa kusuasua
Baadhi ya polis wamejitaidi kufuata sheria kwa kutenda haki.maneno wawaachie wanasiasa wanyukane majukwaaniLisu ametepeta, anawaya waya kwa police.
Si alisema OCD watamtupia kwenye karandinga?.
Mmmh...Magufuli wa sasa ni imara zaidi kuliko Magufuli wa wakati wowote ule.
Tuna imani na afya yake
Na hiyo ndiyo siasaTL anacheza mind games na vyombo vya Ulinzi na Walimu ambayo ndio wahesabu kura.
Anawaaminisha Polisi kama ana imani nao na yuko nao pamoja ili likija kutokea wawe na 2nd thought.
Potelea pote Lissu lazima awe Rais hata kama hajapata kura za kutoshaNo matter what, Lissu will never be sit on the throne
Mara zote unapofanya vizuri unasifiwa na unapofanya hovyo unapondwa, hivi wewe unafikiri yule askari aliyemkamata sugu wakati wa kuchukua fomu alikuwa sahihi?Chadema Wana uadui na taasisi zote hapa nchini,
Anachokisema lisu hakina tofauti na namna anavyoisifia mahakama inapotoa maamuzi yanayoipa faida upande wake ila pale maamuzi yakiwa kinyume cha matarajio yao utasikia jaji au hakimu anafuata maelekezo toka juu.
Huyu jamaa sio wa kumuamini ni mbinafsi na hapo anawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa, wakifanya kinyume na matarajio yake utasikia wanafuata maelekezo toka juu.
Hakuna jipya hapo ni muendelezo wa tabia zao za kila siku.
Haumini ?Mmmh...
Laiti kama wangejua wangekulaga na Mbowe kuliko Lijualikali, Silinde, Selasini na wengine.Na hiyo ndiyo siasa
Niliona kwa macho yangu alipokuja Arusha😀😀😀😀ulisikia wapi !
Siyo Songwe ni Geita.Japo amesema Kuna baadhi ya maafisa Polisi wa Songwe wamehamishwa baada ya kuwadhibiti wafuasi wa CCM waliotaka kuwaletea vurugu Chadema.
Mgombea urais wa maccm hana tofauti na gari la kubebea mkaa.
Tripu moja shamba kufuata mkaa, Tripu ya pili gereji
Unaposhabikia dhulma miaka 5 na kushabikia watendaji wa dhulma; na ukikalia kimya maiti kuokotwa kwenye viroba, wananchi kutekwa na kupotea, watu kubambikiwa kesi, biashara za watu kufungiwa - basi ujue umekosa uhalali wa kuongelea amani
Kajifungia Chamwino anapunga upepo mwanana wa Dodoma kwa raha zake.Kwani huyu jamaa leo anasemaje?
View attachment 1581501
Hivi Machoko wa ccm kwanini wamejawa na tabia za kishetani shetani tu ?Siyo Songwe ni Geita.