Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alipongeza jeshi la polisi kwa kutenda haki katika mikutano yake ya kampeni

Kuna siku nilikasikia eti Kama sema "Magufuli Hana jeshi la kukafanya kasiwe ka Rais"😂😂
Sasa jeshi na kampeni wapi na wapi,au ndo kutafuta sababu za kutaka watu wakuonyeshe uwezo walionao?
 
Kiki ya kukamatwa haipo....

Not a good thing

Viva Magu 2020 to 2030
TL anacheza mind games na vyombo vya Ulinzi na Walimu ambayo ndio wahesabu kura.

Anawaaminisha Polisi kama ana imani nao na yuko nao pamoja ili likija kutokea wawe na 2nd thought.
 
TL anacheza mind games na vyombo vya Ulinzi na Walimu ambayo ndio wahesabu kura.

Anawaaminisha Polisi kama ana imani nao na yuko nao pamoja ili likija kutokea wawe na 2nd thought.
Na wao wanacheza mind games na Lisu na wafuasi wake ........angalia baada ya uchaguzi kupita zile kesi zikiamshwa tena.......jamaa kaingia kwenye mtego na wategaji wanaangalia tu purukushani zake atakapoishia.......inajulikana akichokonolewa sahv anaweza kutumia sababu ya uchaguzi kusema anaonewa acha uchaguzi uishe ndo utaona nani anachezewa mind games
 
By then mangapi atakuwa ameshayasema kuhusu utawala huu?
 
Wanapofanya vizuri wanahaki ya kupongezwa na pale wanavulunda pia ni haki yao kusemwa.
 
Sheria ya jeshi la polisi ikibadirika kuwa huduma.. mbona hawa watu ni wazuri sana.

Police anaongoza magari hadi saa 4 usiku hadi unamwonea huruma.. ukatili wanalazimishwa.

Jeshi la.police linahitaji sheria mpya na liwe huru kwenye kazi zake.
 
TL anacheza mind games na vyombo vya Ulinzi na Walimu ambayo ndio wahesabu kura.

Anawaaminisha Polisi kama ana imani nao na yuko nao pamoja ili likija kutokea wawe na 2nd thought.
Hiyo ndio maana ya kuwa mfariji,sio kufumba macho na masikio hats kwa Mambo ya umuhimu mkubwa.
 
Lisu anaaminika sana,ila wewe ni janga kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…