Tundu Lissu alishambuliwa na watanganyika, mzanzibari akaenda kumpa pole, aliwakimbia watanganyika, mzanzibari kamrudisha

Pia Mzanzibar alisema hivi.

Ulitaka aseme magu ndo alimpiga risasi hajipendi?
 
una uhakika huo ni kwamba watanganyika walimshambulia.. nadhani wewe utakua una ushahidi tosha kwa kushambuliwa kwa TUNDU.. Mana ushasema ameshambuliwa na Watanganyika!
 
Alikugawia pesa za epa na mgodi wa kiwira?
Alitengeneza miundombinu ambayo hapo awali ilikuwa shida.Akafuta kodi ya Kichwa na kodi mbalimbali za Halmashauri ambazo hazikuwa na tija.Ndiyo kipindi Tanzania ilipiga hatua kuliko wakati wowote.Ametuachia uwanja wa Mkapa,Chuo Kikuu Dodoma.Aliboresha shule za Msingi karibia Tanzania nzima.Vijana waliokuwa wamehitimu Form Four,Form Six aliwapa ajira ya Ualimu bila gharama yoyote.Alilipa madeni yote ambayo Serikali ya Mwinyi ilikuwa imekopa.Ni mtu pekee aliyefanya Tanzania iheshimiwe na majirani.Mungu amtunze sehemu nzuri.
 
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Acheni kutafuta kuhurumiwa. Mwacheni Lissu auseme ukweli kuhurumiana ndo kumetufikisha hapa kama taifa.

Sidhani km lengo la Samia kwenda kumuona au kumpa passport lilimaanisha kwamba atakapokuja kuwa rais asielezwe mabaya yake. Hilo alilofanya ni jambo jema japo akikosea lazima akosolewe bila kujali alifanya nini kabla.
 
una uhakika huo ni kwamba watanganyika walimshambulia.. nadhani wewe utakua una ushahidi tosha kwa kushambuliwa kwa TUNDU.. Mana ushasema ameshambuliwa na Watanganyika!
Hata Anti mwenyewe huwa anawataja
 
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Una uhakika gani kama waliomshambulia ni Watanganyika, kwanini wasiwe wazanzibari? 🙁
 
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Hizi ni akili kisoda kabisa hizi, kwako wewe ukipewa msaada, mambo yote utayoambiwa na mtoa msaada utayatii hata kama yanadharilisha utu wako siyo?
 
Kamrudisha? Wapi? hapa ni KENYA? hapa nikwao lazima arudi CCM mmeishiwa hoja...
 
Tatizo la watu wasiofikiri kila kitu wanafikiri kibinafsi. Hoja ya Lissu sio kwasababu ya Lissu ni hoja ya taifa nzima. Uraisi wa Samia ni katiba na sheria sio kwamba Samia na Lissu binafsi ni watu wabaya. Kinachoongolewa hapa ni katiba mbaya , upendeleo wa wazi kwa wanzanzibari kuanzia idadi ya wabunge na uongozi. Sheria za zanzibar za kupendelea watu wa zanzibar pekee wakati wenyewe wana haki sawa. Haya ndiyo matatizo sio nani kaenda hospitali nani hakwenda. Bonduki, risasi, hospitali haina maana mtu aunge mkono sheria mbaya kwasababu zake binafsi.

Mnatakiwa kuelewa mambo kwa upana badala ya kuongelea mambo binafsi.

Mambo hayo waliyasema Uamsho miaka ile na wakabambikiziwa kesi ya ugaidi pamoja na kusekwa gerezani kwa miaka 9
 
Mbona kama hujui siasa zilivyo? Siasa huinua na pia siasa hushusha, hakuna rafiki wa kudumu siasani na hakuna adui wa kudumu siasani. Ni michezo ya kisiasa tu, by the waya wanasiasa wanapendana sana nje ya siasa
 
Hizi ni akili kisoda kabisa hizi, kwako wewe ukipewa msaada, mambo yote utayoambiwa na mtoa msaada utayatii hata kama yanadharilisha utu wako siyo?
Tumia kichwa kufikiri, sio kubebea kamasi
 
Lissu ndiye MTU anayempenda Mh Samia kuliko ninyi,kwa kuwa anamsaidia kumuonyesha pale atendapo NDIVYO SIVYO..sio ninyi wengine kutwa KUSIFU tu!
 
Alitengeneza miundombinu ambayo hapo awali ilikuwa shida.Akafuta kodi ya Kichwa na kodi mbalimbali za Halmashauri ambazo hazikuwa na tija.Ndiyo kipindi Tanzania ilipiga hatua kuliko wakati wowote.Ametuachia uwanja wa Mkapa,Chuo Kikuu Dodoma.Aliboresha shule za Msingi karibia Tanzania nzima.Vijana waliokuwa wamehitimu Form Four,Form Six aliwapa ajira ya Ualimu bila gharama yoyote.Alilipa madeni yote ambayo Serikali ya Mwinyi ilikuwa imekopa.Ni mtu pekee aliyefanya Tanzania iheshimiwe na majirani.Mungu amtunze sehemu nzuri.
Sasa huyo ndo mwasisi wa maufisadi yote mpaka baba wa taifa alishuka na masikitiko kaburini
 
Ufisadi uliasisiwa na Nyerere pale alipotupa Muungano usio na faida kwetu,pili alizuia tusichimbe madini kitu ambacho kilikuwa haramu kwa wakati huo.
 
Back
Top Bottom