startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Ulitaka aseme magu ndo alimpiga risasi hajipendi?Pia Mzanzibar alisema hivi.
Uchaguzi 2020 - Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...www.jamiiforums.com