Pre GE2025 Tundu Lissu ameanza kupuuzwa, umaarufu wake umeshuka kwa kasi mno

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huna uhakika wala ushahidi wa unayoropoka. Ila walio wazima wote, kwa kupitia analysis ya maandiko yake, wana uhakika kichwa cha Tlaatlaah, kimekosa content muhimu inayokamilisha sifa ya kichwa, yaani ujazo ubongo katika ujazo sahihi.
 
niinjoy vip sasa gentleman,

mimi ni mtafiti na mchambuzi wa siasa za vyama,
nitafanya utafiti na kujua nini kimesababisha chadema ife kifo cha mende halafu nitakuja kuandika humu,

si itapendeza zaid tu
Mchambuzi au Mcha Mbuzi? 😀
Kama Mchambuzi ilikubidi usiwe na upande katika uchaguzi wao. Wewe subiri matokeo
 
niinjoy vip sasa gentleman,

mimi ni mtafiti na mchambuzi wa siasa za vyama,
nitafanya utafiti na kujua nini kimesababisha chadema ife kifo cha mende halafu nitakuja kuandika humu,

si itapendeza zaid tu
Duh! Yaani kwa akili hii ya kubahatishabahatisha, uwe mtafiti wewe!! Maajabu makubwa!!
 
Unatuonea sisi Yanga tuna uwezo mkubwa na upeo mkubwa labda simba.

Ila huyu juha mtoa uzi ni chizi na ana akili ndogo kama kisoda
 
Wewe ni CCM mbona unahangaika Sana na CHADEMA , waachie wao ndo wataamua, pili ACHA kuandika vichekesho hakuna nchi ya kiafrika ambayo haiwategemei hao unaowata mabwenyeye
 
Lissu shikilia hapo hapo usiachie, Hadi waseme
 
Lissu shikilia hapo hapo usiachie, Hadi waseme
Yes,
kibaraka akamatie vizuri sana na aambatane bega kwa bega na hao akina Askofu mwamakula, ili Jan.22,2025, wajumbe wa mkutano mkuu waje kumsulubisha kwa kura mchana kweupe hadharai mbele ya hao maaskofu, ili iwe fundisho kwa wenye midomo na tamaa wengine
 
gentleman,
hivi kwa kiswahili cha rejareja tafsiri ya BIG DOGG ni mbwa mkubwa ee, politically speaking? au?

sasa utakua na IQ ya aina gani zaidi ya kubwekabweka?
Mbwa mkubwa ni mtu makini ndio maana wakali wengi wana majina ya kimbwa kama kina MAO ZE DONG sasa kuna watasha kama snoop doggy, nate dogg na bongo mbdogg so jaribu kutupa hekima. Na kule mbelez wanaambiana na kuitana my dogg akimaanisha mwane saana. So BIG DOGG ni jina kali sana. Come on you fool. Bark with the BIG DOGG
 
Duh! Yaani kwa akili hii ya kubahatishabahatisha, uwe mtafiti wewe!! Maajabu makubwa!!
kwahiyo umekasirka kamanda?

utafiti umethibitisha kwamba kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hawezi kushinda uenyekiti wa chadema Taifa, wajumbe wa mkutano mkuu watathibitisha hilo kwa vitendo Jan,22,2025
 
sawa BIG DOGG with zero IQ,

nakukubali sana gentleman,

natumai wadau wa JF wamekuelewa
 
Unatuonea sisi Yanga tuna uwezo mkubwa na upeo mkubwa labda simba.

Ila huyu juha mtoa uzi ni chizi na ana akili ndogo kama kisoda
sawa makolo na utopolo kwa mchango wenu
 
Mchambuzi au Mcha Mbuzi? 😀
Kama Mchambuzi ilikubidi usiwe na upande katika uchaguzi wao. Wewe subiri matokeo
mimi sina upande wowote gentleman, hususan kwenye uchaguzi wa chadema unaotarajiwa kufanyika mapema Jan.22,2025
 
Brother wewe ni kibaraka umetumwa

Pia tunamfuatilia wengi hata wewe uamfuatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…