Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amebadili upepo wa siasa. Watanzania tumuunge mkono

Wewe bado unaishi hujafa hujaumbika. Inawezekana siku moja na wewe ukaungwa kwa vyuma.
Sijaongelea kwa ubaya kama akili yako fupi inavyowaza.....
nimetumia tasifida.....
nakufafanulia we usiyeelewa....
Lisu amekomaa kisiasa wakati huu zaidi kuliko wakati wwte ule......
attempt ya kuuwawa kwake imemfanya awe imara zaidi.....
siku nyingine usirudie ku quote kitu usichoelewa...
omba ufafanuzi alaa...
 
Ni ujasiri wa hali ya juu kisiasa kunena Haya. Tundu A. Lissu ameamsha mwamko wa siasa uliokuwa umepotea na upinzani wakijipanga vizuri mambo yatakuwa mswano
 
Uko sahihi, amejaribiwa na kuthibitika kuwa anafaa kukabidhiwa mambo magumu
 
Ni ujasiri wa hali ya juu kisiasa kunena Haya. Tundu A. Lissu ameamsha mwamko wa siasa uliokuwa umepotea na upinzani wakijipanga vizuri mambo yatakuwa mswano
Kweli mkuu
 
Uko sahihi, amejaribiwa na kuthibitika kuwa anafaa kukabidhiwa mambo magumu
Ni kama ukiitaka pure gold ni lazima ipitishwe kwenye joto kali sana ili kutoa makapi makapi ya chuma na madini mwengine. Lissu amelipitia hilo na sasa amethibitika kuwa yeye ni pure mwanasiasa
 
Lisu atashinda uchaguzi October 28 saa nne asubuhi tu.
 
Lisu atashinda uchaguzi October 28 saa nne asubuhi tu.
 
Lisu atashindwa uchaguzi October 28 saa nne asubuhi tu.
Akishindwa kihalali/bila figisu figisu wala hilo sio tatizo kabisa.

Tatizo linaanziaga hapa"yaani nikuteue mimi,nikulipe mshahara,nikulipie nyumba,nikulipie dereva na bado umtangaze mpinzani kua mshindi,hiiiiiiiiiiiiiii'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…