Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,258
- 14,942
Kwani ndio mwisho wa dunia? Pelekeni hata mwakainaahirishwa hadi may 30
Kwani ndio mwisho wa dunia? Pelekeni hata mwakainaahirishwa hadi may 30
Labda Kenya 🇰🇪Kwani anaficha nini?
Si yeye kutwa anapiga kelele kutaka uwazi
Hiyo kesi iendeshwe kwa uwazi ila kila aone haki inetendeka sio baadaye aje na porojo zake kuwa majaji hawajui kingereza na hawakutenda haki sababu ni CCM
Ifanyike live dunia yote ione
Kwa ujinga wako unadhani unamkomoa? Kweli ujinga kipaji??Alalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
Na yeye atakaamo, na atapasua kokotoMandela alikaa gerezani Kwa siku 9,855 na kazi ngumu wewe unataka kuonesha siku 14 kama ni nyingiiii.
Mandela kafanyaje?Mandela 😂
Taarifa kutoka Mahakamani zinadai Tundu Lissu amegoma kushiriki kesi kwa njia ya mtandao! God bless you Tundu Lissu
View attachment 3313918
Hebu itaje hiyo sheria inayoongoza hayo mambo ya mahakama mtandao!Hiyo ni mahakama mtandao, na kuna sheria inayoongoza kutumia mtandao, yaani hakuna show game mwaka huu
Anataka nini??anajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
Lissu ni kama Mandela!Mandela kafanyaje?
Taarifa kutoka Mahakamani zinadai Tundu Lissu amegoma kushiriki kesi kwa njia ya mtandao, anataka kesi isikilizwe moja kwa moja kutoka mahakamani.
Mahakama mtandao ni mahakama sawa na ya kwenda physicallyYaan polisi mnao bado hamtaki TAL apelekwe mahakamani
😂😂
Hahahaha 😆🤣Lissu ni kama Mandela!
Sasa Lisu anagoma nini kuendeshwa kwa uwazi Tanzania wakati huo huo hupongeza kenya kuendesha kesi kwa uwaziLabda Kenya 🇰🇪
Kashindana na risasi na akashinda, kwa akili yako ndogo unahisi hilo litamshinda?anajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
unawekwa boya wewe sisi tupo hapa kisutu mwehu mmojaAlalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
Huku ndiko kwenye wafuasi hai..field hakuna kitu...Taarifa kutoka Mahakamani zinadai Tundu Lissu amegoma kushiriki kesi kwa njia ya mtandao! God bless you Tundu Lissu.
Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza
View attachment 3313918
Alipigwa risasi 16 hajatetereka ndo iwe kumweka gerezani?Akirudi inapigwa June 13,akigoma tena June 27.
Iyena iyena itakuwa imeanza kunoga