Tundu Lissu amekuwa Champion wa Tume za Uchunguzi kuhusu Muundo wa Muungano za Rais Mwinyi, Mkapa na Kikwete

Uko sahihi kabisa
 
Tundu Lisu Yuko safi
Tundu Lissu awadanganye wasiomjua tu. Huyu hana tofauti na Magufuli kuanzia UDIKTETA, dharau, uropokaji hadi upendeleo.

Mwaka 2010 alimuingiza dada yake ķwenye viti maalum vya CHADEMA. Christina Lissu (RIP) alikuwa hana uwezo wowote lakini nikashngaa ni mbunge kwa kuwa kaka yake ni Makamu Mwenyekiti.

Halafu msiomjua mnasema eti amenyooka!! THUBUTU
 
Hujasema haya kwa bahati mbaya. CCM wamekuja na mbinu ya kufundisha watu cha kusema. Mtu timamu hawezi kuona issues za Muungano, Katiba, Tume huru sio mambo yenye mashiko
 
Lissu ameshajaribiwa na Mashetani kibao kuhusu Pesa Chafu. Wewe mwenyewe unajua sema unataka Ligi tu.

Lissu angekuwa mbinafsi saa hii angekuwa Waziri Mkuu wa JMT.
Weka ushahidi ? Na ni Katiba gani ingemfanya mpinzani kuwa Waziri Mkuu?
 
Acha uongo.....Ishie mambo ya kiccm huko huko we kula maisha kupitia Mama lakino uongo uache.
 
Weka ushahidi ? Na ni Katiba gani ingemfanya mpinzani kuwa Waziri Mkuu?
Stuxnet wewe umekuwa rigid na kitaka kuchafua watu wenye sifa safi.....utashindwa tu.

Lissu hachafuliki ka maneno ya reja reja.

Nenda kajipange upya.
Taifa linajua na Dunia inajua Who is Lissu Antifas Mughwai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…