Tundu Lissu amekuwa Champion wa Tume za Uchunguzi kuhusu Muundo wa Muungano za Rais Mwinyi, Mkapa na Kikwete

Tundu Lissu amekuwa Champion wa Tume za Uchunguzi kuhusu Muundo wa Muungano za Rais Mwinyi, Mkapa na Kikwete

Lisu tumemlea wenyewe Kwa umbumbu wetu wanaccm!!

Hivi tungeandaa katiba mpya mapema ya serikali tatu au mbili na keto za muungano Leo lisu angepata wapi jukwaa la kusemea ujinga wetu!!?

Hizo time za kisanga,nyalali na warioba zingefanyiwa kazi leo Lisu angejadili mengine!!

Tumekalia kupiga Dili,kulindana na kujaza matumbo TU hakuna anaewaza mstakabali was kesho yetu!!

Mimi mwanaccm nasema hivinLisu anaongea ukweli mchungu na ni upumbavu wetu ccm ndio umetufikisha hapa tulipo kwa kuendekeza wizi,ubadhirifu,rushwa siasa chafu,ujinga na umaskini wa fikra!!!

Tungefanyia KAZI ya warioba Leo Lisu angeongeo mengine!!!
Uko sahihi kabisa
 
Tundu Lisu Yuko safi
Tundu Lissu awadanganye wasiomjua tu. Huyu hana tofauti na Magufuli kuanzia UDIKTETA, dharau, uropokaji hadi upendeleo.

Mwaka 2010 alimuingiza dada yake ķwenye viti maalum vya CHADEMA. Christina Lissu (RIP) alikuwa hana uwezo wowote lakini nikashngaa ni mbunge kwa kuwa kaka yake ni Makamu Mwenyekiti.

Halafu msiomjua mnasema eti amenyooka!! THUBUTU
 
Shida ya upinzani hawawezi kutengeneza hoja zenye mashiko zaidi ya kupinga kila kitu na kueneza chuki dhidi ya wananchi.
Kuna vitu muhimu sana ambavyo upinzani wanatakiwa waviongelee lakini wao wako bize kupinga na kueneza chuki.
LISU pamoja na MBOWE ngoja niwasaidie fikra.
Chukueni ripoti ya CAG ichambueni mwamnzo mpaka mwisho.
kila sehemu ambayo CAG ameonesha kuna madudu jengeeni hoja.
Hiyo kitu itawasaidia kugusa kila idara ya nchi na mwananchi mmoja mmoja.
TANZANIA ni ya kwetu tunatakiwa TUIJENGE sio TUIBOMOWE
Hujasema haya kwa bahati mbaya. CCM wamekuja na mbinu ya kufundisha watu cha kusema. Mtu timamu hawezi kuona issues za Muungano, Katiba, Tume huru sio mambo yenye mashiko
 
Lissu ameshajaribiwa na Mashetani kibao kuhusu Pesa Chafu. Wewe mwenyewe unajua sema unataka Ligi tu.

Lissu angekuwa mbinafsi saa hii angekuwa Waziri Mkuu wa JMT.
Weka ushahidi ? Na ni Katiba gani ingemfanya mpinzani kuwa Waziri Mkuu?
 
Tundu Lissu awadanganye wasiomjua tu. Huyu hana tofauti na Magufuli kuanzia UDIKTETA, dharau, uropokaji hadi upendeleo.

Mwaka 2010 alimuingiza dada yake ķwenye viti maalum vya CHADEMA. Christina Lissu (RIP) alikuwa hana uwezo wowote lakini nikashngaa ni mbunge kwa kuwa kaka yake ni Makamu Mwenyekiti.

Halafu msiomjua mnasema eti amenyooka!! THUBUTU
Acha uongo.....Ishie mambo ya kiccm huko huko we kula maisha kupitia Mama lakino uongo uache.
 
Weka ushahidi ? Na ni Katiba gani ingemfanya mpinzani kuwa Waziri Mkuu?
Stuxnet wewe umekuwa rigid na kitaka kuchafua watu wenye sifa safi.....utashindwa tu.

Lissu hachafuliki ka maneno ya reja reja.

Nenda kajipange upya.
Taifa linajua na Dunia inajua Who is Lissu Antifas Mughwai
 
Back
Top Bottom